Haya yanatokea Zanzbar tu?

Haya yanatokea Zanzbar tu?

Ingekua uku bongo ungechomwa moto na kufa kabisa, sasa una lalamika nini si ume lawitiwa tu!!! Acha wizi wewe nenda kacheki Pregnant kwanza.......

Inaonyesha wewe kwako kulawitiwa sio tatizo kwa kua ulishazoea
 
Huu haukua ila ni uzushi mkubwa. Watanganyika wapo kitambo tunaishi nao kwa amani hapa zanzibar, kwa sababu ni moja ya mhimili mkubwa wa uchumi wa zanzibar. Mizigo yote mizito hubebwa na watanganyika, mashamba hulimwa na watanganyika, karanga na mahindi huuzwa na watanganyika na sisi hununua kwao, na wao ni marafiki zetu .

Wazanzibari ni kama watu wa aina nyengine, ukiishi wanavotaka wao utasalimika lakini ukienda kinyume lazima watakuchukia. Kumbuka usemi 'when you are in rome do as roman do'

Inaonekana kabisa unachosema hakikuwa guided na human third birth gifts that encompasses Mental IQ, Physical IQ, Emotional IQ and Spiritual IQ. Utanisamehe mtu mwenye kuongozwa na hizo 4 intelligences of nature hawezi kuandika kihivyo.....ungetafiti na kuulizia ukajua kwanza, na unatetea uongo na mawazo yako mgando.
 
Huu haukua ila ni uzushi mkubwa. Watanganyika wapo kitambo tunaishi nao kwa amani hapa zanzibar, kwa sababu ni moja ya mhimili mkubwa wa uchumi wa zanzibar. Mizigo yote mizito hubebwa na watanganyika, mashamba hulimwa na watanganyika, karanga na mahindi huuzwa na watanganyika na sisi hununua kwao, na wao ni marafiki zetu .

Wazanzibari ni kama watu wa aina nyengine, ukiishi wanavotaka wao utasalimika lakini ukienda kinyume lazima watakuchukia. Kumbuka usemi 'when you are in rome do as roman do'

Hao wanaolawiti wenzao wanaweza kujiona wajanja lakini UKIMWI utakapowayemelea kwa ukatili huu ndo watajua ni bora wangempeleka polisi.
 
sasa mleta maada, wewe ndio unafatilia hizo habari za wabara walioko Zanzibar na matatizo yao au vipi?
yaani baada ya kuleta maada ya faida ya jamii, wewe ndio kwanza unachocheza uzanzibar na ubara.
ni upuuzi kuleta hapa, ulitakiwa usaidie kutatua tatizo na sio kuzidisha tatizo
 
Habari wana jamii.

Haya mambo yanatokea Zanzibar tu, sujawahi kuona.

Juzi kati, kama siku mbili tu hivi zilizopita, pale kwenye "take away restaurant Malindi Zanzibar" palitokea wizi, usiku, basi vijana wakamfukuza yule mwizi, wakamkamata wakampigaaa, then wakajifanya eti wanampeleka police, kumbe wakampeleka sehemu wakaanza kumlawiti huwezi amini wakamlawiti sana, yule kijana kutoka pale akaenda police kushitaki, akaseme kweli mimi nilikua naiba lakini baada ya kunikamata ilikua wanipeleke police, lakini kinyume chake wananilawiti,....... ukichunguza sana unakuta huyo kijana aliyelawitiwa ni kijana wa kibongo (kutoka bara).

Ikitokea fujo Zanzibar, na akiwa anayepigwa ni mbongo, basi watu hawaingilii kabisa, na utasikia kauli, "acha afe, mbongo sio mtu kabisa" dah!

Kuna jamaa (mbongo) kajenga maeneo ya Bububu Kijichi, basi kajenga katikati na amezungukwa na wazanzibari ( hasa wapemba) jamaa ana kijigari, basi yaani wanasema kweli, "ilikuaje mbongo akapata maeneo hapa" jamaa ni muislam, ila tatizo ni mbongo!!!!!

Jamaa mwengine yeye amejenga maeneo ya Kwarara, tene yupo maeneo yale siku nyingi kweli, kabla hata hao jamaa ( wapemba) hawajahamia, wao ndio waazilishi, ila sasa wamejaa na nyumba yake yote imezungukwa, miezi kama mitatu nyuma, aliwekewa bomu la kutengenezwa nyumbani kwake wakitaka wairipue nyumba yake, hadi wakaja wanajeshi ndio wakalitoa hilo bomu, hivi sasa jamaa anauza nyumba yake ahame pale, tatizo wanunuzi ndo wale wale, wanailazia bei nyumba yake ili waichukua kwa bei rahisi, jamaa ni muisilamu safi sana, swala tano tena, ila tatizo ni "mbongo"

Kuna mwengine yeye ni mzaliwa kabisa wa Zanzibar, kasoma na kakulia Zanzibar, ana kazi yake nzuri tu ya ujasiriamali, sasa ameoa Mzanzibari ( sio mpemba), yaani sasa jamaa wanakua wanamshangaa sana, yaani wanasema " eti oooo inakuaje mbongo aoe mzanzibari, si akachukuwe wabomgo wenzake kule Tabora" tatizo ni nini jamani.

Dhambi ya ubaguzi Zanzibar haitaisha kabisa, ila mimi najiuliza je huko Dar, maeneo ya Kariakoo ambapo wamejazana kama njugu hivi wanabagukiwa kama hivi? kila kona sasa ya Tanzania bara wamejaa, je wanabaguliwa?

Naomba majibu jamani.
we jamaa rudi bara haraka maana wakiona bandiko lako watakulawiti kama huyo mwizi
 
Mwanzisha mada kama uko hapa zenji ondoka haraka..

Umeandika ipuuzi na unafiki...pole...zanzibar ni ya wazanzibar...ishi wanavyotaka wanzanzibar....wewe ni mgeni miaka yote
 
Ubaguzi upo kila kona, kwa sisi tuliozaliwa huku na kukulia huku, mmh ni shida, kabla ya vyama vingi kwa kweli haya mambo hayakuwepo kabisa, vyama vingi vilipoanza tu, hii kitu ikajitokeza, kuna ubaguzi mkali sana huku,
 
Kwani ulikuwa haujui kama wazenji ni Wabaguzi na wabinafsi mpaka kesho,iyo ni asili yao na iko ktk damu yao,ayo ni matukio ya maisha bora kutoka Kwa mkulu,kukataa kuwapa zenji yao wajitawale.
 
sasa mleta maada, wewe ndio unafatilia hizo habari za wabara walioko Zanzibar na matatizo yao au vipi?
yaani baada ya kuleta maada ya faida ya jamii, wewe ndio kwanza unachocheza uzanzibar na ubara.
ni upuuzi kuleta hapa, ulitakiwa usaidie kutatua tatizo na sio kuzidisha tatizo

Wewe umesaidia kivipi zaidi ya kulaumu!
 
Mwanzisha mada kama uko hapa zenji ondoka haraka..

Umeandika ipuuzi na unafiki...pole...zanzibar ni ya wazanzibar...ishi wanavyotaka wanzanzibar....wewe ni mgeni miaka yote

Je na huku bara tulianzishe kwa wajomba zenu??
 
Hizi blah blah tuuuuu. HAKUNA BIN ADAM ASIYE MBAGUZI..... Mnaojiita Tanzania Bara ndo mlijipendekeza kwao na mkaiasi nchi yenu Tanganyika ... Wacha mlawitiwe tu, wizi haushabikiwi...
 
Back
Top Bottom