Recent content by seph0408

  1. seph0408

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Of a kind prefereed by women,
  2. seph0408

    Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

    Majinga sana hao, sasa ukishafunga biashara unaconfirm kwamba serikali imeshindwa kutumia power zake kupata kodi yake. Halafu mtu anatemebea kifua mbele mkurugenzi wa makorokocho Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  3. seph0408

    Fedha ya uingereza inaendelea kuanguka dhidi ya dola ya Marekani

    Una maanisha GBP au ile ya Europe states EUR?
  4. seph0408

    Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Mzee hana chuki, ila mfumo usio rafiki ni gharama kwa wote
  5. seph0408

    Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

    Ni kitabu kinachotolewa na NBAA kwa ajili ya masomo ya CPA
  6. seph0408

    Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Don't fool yourself. He is professional. Hafanyi kazi kwa mihemko yule.
  7. seph0408

    Mke wangu ni mchawi ama mama ndio mchawi?

    Mama ni witch.... Wife ni Witchdoctor Uwepo wa mmoja unasibu mwingine kutokuwepo. The two can not co exist
  8. seph0408

    Mke wangu ni mchawi ama mama ndio mchawi?

    Man, this shit is correct. Mummy appears to be the problem and the wife appears to be the solution. I mean huyo mama is a witch and the wife is a witchdoctor. One has to neutralise the other
  9. seph0408

    Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Anza kuishi naye ndani kwa miezi 7, then uje utupe mrejesho,wa jinsi watu wawili, wanavyosuguana na kuresolve or kudissolve
  10. seph0408

    Umuhimu wa Katiba mpya umeendeleea kuonekana

    Wanasema kila mara mikopo ni ya masharti nafuu, ila hawasemi hayo masharti nafuu ninyapi kwa kila mikopo.
Back
Top Bottom