Recent content by sentala

  1. sentala

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mnanaa/ Mint

    Habari zenu watanzania wenzangu, Naombakujua wapi naweza pata mbegu ya mnanaa / majani ya mnanaa au mint #nipo mbeya
  2. sentala

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kushirikiana na Israeli!

    What I believe..,is just adui wa rafiki yako si wa kwako,that means elites groups against Israel can't be an obstacle in our friendship #Viva Israel nchi ya ahadi
  3. sentala

    JamiiForums Tanzania Diploma in health posts 2016/2017

    Sorry wadau naomba kujua taratibu za vyuo vya afya vya serikali vya diploma za afya kwa mwenye uelewa pls!
  4. sentala

    JamiiForums Tanzania Maana sahihi ya neno UWATU

    Wanajukwaa la lugha naomba msaada wenu.. UWATU ni zao gani?
  5. sentala

    JamiiForums Tanzania Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

    Very sad,Mungu asimame juu ya hiki kizazi cha sanaa ya bongo fleva
  6. sentala

    JamiiForums Tanzania Sakata la MCC: Wamarekani waonesha dalili ya kulegeza KAMBA

    Issue sio kupigwa chini kwa hiyo mikataba..,mna vingi mnawategemea that's why ni issue sana kuweza jitegemea,mfano mzuri ni ARV mbazopewa bure na hao wahisani. Just imagine kesho ya taifa itakuwaje once waanga wa hilo gonjwa wanakosa hayo madawa It's just a matter of democracy coz capitalists...
  7. sentala

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Subiri ndugu,utanogewaaa
  8. sentala

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ya kumshirikisha mchumba/mke wako na kwa asilimia ngapi?

    Every thing is fare in love and war
  9. sentala

    JamiiForums Tanzania Faida za bia mwilini

    Sory wadau,eti ni kweli kwamba kilevi aina ya bia kina faida kiafyamwilini!!?
  10. sentala

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa maendeleo wa vijana meru

    Duh! siasa ni mchezo mchafu xana,viva mtandao vivaaa!
Back
Top Bottom