Mtandao wa maendeleo wa vijana meru

Mtandao wa maendeleo wa vijana meru

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Wanabodi awali ya yote heri ya pasaka kwa wale waumini wote wa imani ya kikristo na wasio wakristo pia hapa meru mashariki kwenye jimbo la mbunge nassari joshua kuna mtandao umeanzishwa na vijana waishio meru kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao kiuchumi ambapo mtandao huu umejumisha vijana mbalimbali kama vile madaktari,waalimu,madereva wote,waendesha bodaboda,wafanyabiashara mbalimbali haya yote ni kutokana na kwamba hakuna chochote ambacho joshua nasari amewafanyia na nguvu hii imeanza kumstua mpaka yeye na katibu wake kwasababu ccm imeonyesha dhahiri kuwapigania hawa vijana kwa kuwahidi kuwapatia mtaji wa kifedha ili waweze kufungua saccos yao ya kukopeshana mikopo ya fedha na pembejeo,bodaboda na uzuri kwamba vijana hawa hawaangalii itikadi ya chama mtu kujiunga nao.haya ndio tunataka sisi vijana toka ccm.nawasilisha
 
duh!!umetiririka sna ungetulia kwanza
 
wataishia.kukatana mapanga tu. hili kabila ni watu wa shari shari. ndio maana walichagua wahuni wenzao chadema
 
kwa taarifa ni kwamba huo mtandao upo na umeshajiliwa kisheria na una idadi mpaka sasa ya vijana takribani 2000 na saccos yao imesajiliwa pia kisheria.hongereni sana vijana wa meru kwa kuonyesha nia kujikomboa kiuchumi
 
Wanabodi awali ya yote heri ya pasaka kwa wale waumini wote wa imani ya kikristo na wasio wakristo pia hapa meru mashariki kwenye jimbo la mbunge nassari joshua kuna mtandao umeanzishwa na vijana waishio meru kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao kiuchumi ambapo mtandao huu umejumisha vijana mbalimbali kama vile madaktari,waalimu,madereva wote,waendesha bodaboda,wafanyabiashara mbalimbali haya yote ni kutokana na kwamba hakuna chochote ambacho joshua nasari amewafanyia na nguvu hii imeanza kumstua mpaka yeye na katibu wake kwasababu ccm imeonyesha dhahiri kuwapigania hawa vijana kwa kuwahidi kuwapatia mtaji wa kifedha ili waweze kufungua saccos yao ya kukopeshana mikopo ya fedha na pembejeo,bodaboda na uzuri kwamba vijana hawa hawaangalii itikadi ya chama mtu kujiunga nao.haya ndio tunataka sisi vijana toka ccm.nawasilisha
ulitaka nassary awape mtaji au ulitaka awagaie mshahara wake, waambie wameru wenzako wachomoke kwenye migomba wapambane na maisha na si kusubiri mbunge awaletee maendeleo binafsi
 
dogo nasari amechemka mapema wanaounda huo mtandao ni marafiki zake wa karibu sana tena waliompigania kampeni akasinda wamemuona kachemka
 
huo mtandao umeanzishwa kwa lengo la kumwondoa nasari na aliyenyuma ya mtandao huo ni lowasa kuna jamaa alinitonya mwaka jana vijana wamepewa pesa mbaya, nasari fanyia kazi jambo hili utaelewa nini nasema
 
Back
Top Bottom