Recent content by sensa

  1. sensa

    Serikali kuanza uchunguzi dhidi ya QNET baada ya wengi kujiripoti kuwa wametapeliwa na wengine kuacha kazi kabisa

    Ipo shida kubwa sana katika kuelewa maana ya network marketing na upatu Pia tatizo letu lingine mamlaka zimelala sana huwa wanashtuka watu wameshapigwa sana wakati mambo yalikuwa yakiendeshwa wazi wazi
  2. sensa

    Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

    Kwenye ndoa wengi tunakimbilia tu kuangalia kama mwenza anafaa au hafai. Lakini huwa tunajipima kama sie tunamfaa huyo mtu? Ukiangalia utayari wetu.. Hapo uko kwenye mkakati wa ndoa halafu babu bado umeng'ang'ana naye. Je si linatoa picha ya mke utakayekuwa? Ni wazi huko mbele kutakuwa na...
  3. sensa

    Diamites International.

    Safi sana kama unayajua yote hayo unabaki na nafasi ya kufanya uamuzi juu ya nini hasa unataka then uchukue hatua. Pia narudia tena hii biashara siyo ya kutembeza bidhaa, ni ya kujenga network na kwenye hiyo network hizo bidhaa zinamove.
  4. sensa

    Diamites International.

    Mzee nikwambie kitu hii biashara inawapa wengine hela nyingi sana lakini si kwa kutembeza ila Kila mtu ana akili zake ndio maana utaona wengine wanatembeza mie sijawahi kufundishwa hivyo wala kufanya hivyo.Na mtu yeyote a natakiwa kujiuliza unaweza kutembeza budhaa ukajikimu kimaisha?
  5. sensa

    Diamites International.

    Kabla sijaanza nilikuwa na mawazo kama yako but katika biashara kuna kitu kinaitwa referal system.... Unaomba contact za watu ambao pengine wangependa kusikiliza opportunity na mtu anakupa namba za marafiki,ndugu ama jamaa anaowafahamu.
  6. sensa

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Kuwa mpole mzee,mbona kama shell inapanda?
  7. sensa

    Huku ni kuachana au bdo tunapendana

    Ha ha haaa sasa we hapo si ndio ushakuwa Mali o?
  8. sensa

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Kununua si lazima kwenda corner bar au manzese, inategemea mtu analichuliaje kununua k.Sijaona mazingira yoyote ya kumpata nimtakaye bila kuwa na hela.Nisipokuwa na hela ntampata mwenzi lakini si uhuru wa kuchagua kama nikiwa na hela. So ili zipu yangu ifunguke hela inahusika sana
  9. sensa

    Am looking for a tall handsome man to.....

    Hivi jamani wachina hawajatoa dawa ya wanaume nao wawe mahandsome na kurefuka? Za kukuza uume na butt waneweza so nadhani Inawezekana na mengine pia
  10. sensa

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Ndio manake, unafikiri kuna mwanaume yeyote aliyekamili anaweza ishi bila hiyo kitu
  11. sensa

    Chanzo kikuu cha wanawake kutoka nje ya ndoa ni kutoridhishwa kimapenzi

    Pale wanaoijiiita great thinker wanapokuwa mahiri kuponda mawazo ya wenzao. Kwa uelewa wangu kipimo cha great thinker huwa kinaonekana anapokumbana na wenye mawazo machanga....kama vile mtu mzima atambulikavyo katikati ya watoto na si kwa umbo bali kwa kujua kukaa nao vizuri akijua ni watoto.
  12. sensa

    Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

    Watu mtatetea wengine lakini uwazi uko pale pale mali aliyo nayo dogo ni nyingi ambapo si tatizo hata kidogo lakini asiyekuwa na akili tu ndio hatagundua ni ya wizi.
  13. sensa

    Reginald Mengi sawa na Bill Gates wa Tanzania

    Yaan matajiri wanachukiiwa utadhani wao wamemzuia mtu asitajirike
Back
Top Bottom