Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

Status
Not open for further replies.
kama ni kweli sidhani kama wana raha na hiyo mali.
binafsi huwa nawaheshimu sana matajiri wanaoweza kueleza wamepataje fedha zote kwa uwekezaji walio fanya.
nashindwa kuelewa mtoto wa rais unafanyaje biashara katika hali hii kila kona unalalamikiwa.
hakuna hata biashara moja ya maana ya kuitumikia jamii ikaona imewezeshwa na mtoto wa mwenyenyumba full dill hii haipendezi kabisa yanasemwa mengi yanazidisha hasira kwa jamii hii sio nzuri kabisa.
sijui tuachane nao tuwafatilie kimya kimya binafsi nimejaa hasira sijui hata naandika nini?
 
Mavi ni mavi tu! hata ukiyafunika na ua rose bado yatanuka tu! tuongee point ktk misingi ya kawaida watanzania si wajinga sana kiasi hiki!!!! ila panapo uhdhalimu shuruti tuseme na siyo kuufagilia!!
 
Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.

Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.

Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.

Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?

Maujungu.com hayatojenga. sasa mnataka Riz1 afanye nini, smart man businessman. Mawazo tegemezi jikomboe Mtanzania!
 
Hivi huyo dogo utajiri wake unafikia kiasi gani sasa hivi? siku hizi kila jengo mjini utasikia la Riz1! ni ukweli dogo ana mpunga wa ufisadi kiasi hicho au ndio kutokuaminiana?
Huenda ni trilioni kadhaa,
hadi anahitaji ulinnzi wa ikulu kulinda utajiri wake!
Kuna haja Riziwani amshauri babake abadilishe katiba aendelee kutawala maisha. Bado anapendwa.
 
Maujungu.com hayatojenga. sasa mnataka Riz1 afanye nini, smart man businessman. Mawazo tegemezi jikomboe Mtanzania!
Jikomboe na kodi za wavuja jasho?
Na sasa tunaambiwa hupati akiba uliyoweka NSSF/PPF hadi uzeeke ilhali Ridhiwani anazitumbua?
Ila kweli ulivosema tunataka Riz1 afanye nini wakati yuko ikulu na mali yote ya nchi at his disposal tumepata jibu.
 
Mtabaki majungu tu wenzenu wanaendelea na umri wako unazidi kwenda huna chochote katika maisha yako..kalaga bao.. Watz sahizi tumebaki majungu na fitina za kichadema huku wenzenu wa kenya wanashika soko lenu la Tz..mtabaki watumwa nchini mwenu... Umbea ndo umetujaa ...
Sio majungu bali hatukubaliani na wezi hata Kenya unayosema wanashikana mashati kurudisha mali za umma!!! Hatukubali hadi kieleweke tutapiga kelele mwisho Mungu wetu atatusikia, kama huamini ngoja utaona!!!!

 
mwisho wa udharimu na ufedhuri,ni aibu,fedhea na mauti!mwisho wa siku tutachoka.Ref:Ghadaffi na mwanae!
 
huu ni uonevu. angeandikwa january makamba, hii thread ingondolewa lakini ridhiwani anatukanwa mchaa kweupe kila siku. mods hata nyumba ya mwamvita mnakataa, hii siyo freshi
 
Ndio maana baba anashinda Marekani,kumbe na malori mlinunua hukohuko....Hakika kiama chenu kinakuja!!!!!
 
eee bhana eee ! Si Dr slaa alipewa wiki 1 akanushe vinginevyo angeburuzwa mbele ya pilato , vipi hiyo wiki bado ?
 
Watu mtatetea wengine lakini uwazi uko pale pale mali aliyo nayo dogo ni nyingi ambapo si tatizo hata kidogo lakini asiyekuwa na akili tu ndio hatagundua ni ya wizi.
 
huu ni uonevu. angeandikwa january makamba, hii thread ingondolewa lakini ridhiwani anatukanwa mchaa kweupe kila siku. mods hata nyumba ya mwamvita mnakataa, hii siyo freshi

who is Riz 1 by the way ? Siyo kiongozi wa serikali , mbona una mawazo ya kimasikini sana !
 
Sisi wakazi wa Mwanza tunajua LAKE OIL ni kampuni yake, hata malipo ya bank yanaenda kwa mtu anayeitwa Riz1.
 
Hebu tuchangie mali za riz 1. Ana. Aman bank. Lake oil. Kamel oil. Kamel cement. Transports malori 300. Magorofa kam 25. Kwa dar tu. panone zote tanzania. Kiwanda cha unga cha azania. Ratco mabasi ya tanga. Endeleza tafadhali. !!!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jk ninga...huyo ni mtoto mmoja na anawatoto zaidi ya 20....tafakari na uchukuwe atuwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom