Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

katika maisha kuna aina mbali mbali za binaadamu ambao Mungu hukukutanisha nao ili kukukamilishia kukomaa ki akili. kuwa makini na huyo mpenzi mpya maana wanaume huwa tunatabia ya kutamani vitu vilivyoundwa na wenzetu. kama huo mchepuko wako ni muislamu mwambie akuoe....usimpe nyapu huyo mpenzi mpya maana anaweza akawa ametumwa na huo mchepuko wako. jirizishe kwa umakini kabla hujafanya maamuzi magumu. NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPITISHE SALAMA KATIKA HILO JARIBU... maana kwa mbali naona kuna kukosa vyote ama kumpata mume.
 
Hiyo comment unaipotezea lkn ilikuwa muhimu sn tuanzie hapo ina maana yupo mwengine pia ulikuwa unampa penzi wakati upo na babu sbb huyo kijana hajawahi kuionja hiyo kitu.
Huyu babu hata sijawah msaliti coz kila kitu nilikua napata.. kila idara yuko vema. Si unajua wengine ni natural given
 
Sorry kama nitakuboa you can take or leave it, sijui nianzie wapi? Huyu Mr. X ulianzaje kumpenda to start with..., na hali ukijua ana mke na watoto.? Ni ushawishi wa pesa (maisha), he is handsome, good in bed or something? USHAURI: Kabla ya ku- plan how to abandon this guy, nakuomba rudi mlilie Mungu akupe direction nzuri. Mind you! God won't show up directly to you and tell what to do. Ni sisi hao hao tunaokushauri namna ya kwenda. Umesema huyo mbabu una mwaka naye sasa.... Bado hai justify kukumiliki kwa namna yoyote if you don't have feeling or future with him. Please, kwa choices zako zote mbili haupo sahihi kwa kuwa umeacha mwili ukuongoze uamue cha kufanya. Frankly speaking, unaweza sema huyu kijana ndio anakufaa kwa sasa eti kwa sababu hajakuomba papuchi bado. No no no... hiyo bado haitoshi. You must connect in spirit and pray hard to God.... Hope you know what I'm saying. Ngoja niishie hapo at least for now....
 
na uzee waja kasi shoga weee.. na mzee akikuona umekuwa mzee mwenzie anakuweka kando anavuta kabinti kabichi kingine wakati huo kakuacha vyema sana kakuachia kamtoto na kanyumba nadni ya miaka kumi hakina hadhi tena ..
Yaani we acha tu.
 
WOMEN DONT THINK AND WHEN THEY THINK THEY DONT MAKE GOOD DECISION MOST OF THE TIME.......................LIFE GOES ON
 
Kwenye ndoa wengi tunakimbilia tu kuangalia kama mwenza anafaa au hafai.

Lakini huwa tunajipima kama sie tunamfaa huyo mtu? Ukiangalia utayari wetu.. Hapo uko kwenye mkakati wa ndoa halafu babu bado umeng'ang'ana naye.

Je si linatoa picha ya mke utakayekuwa?

Ni wazi huko mbele kutakuwa na shida tena ambayo chanzo chake ni wewe.

Msingi mbovu nyumba mbovu. Na si vinginevyo.
 
Sorry kama nitakuboa you can take or leave it, sijui nianzie wapi? Huyu Mr. X ulianzaje kumpenda to start with..., na hali ukijua ana mke na watoto.? Ni ushawishi wa pesa (maisha), he is handsome, good in bed or something? USHAURI: Kabla ya ku- plan how to abandon this guy, nakuomba rudi mlilie Mungu akupe direction nzuri. Mind you! God won't show up directly to you and tell what to do. Ni sisi hao hao tunaokushauri namna ya kwenda. Umesema huyo mbabu una mwaka naye sasa.... Bado hai justify kukumiliki kwa namna yoyote if you don't have feeling or future with him. Please, kwa choices zako zote mbili haupo sahihi kwa kuwa umeacha mwili ukuongoze uamue cha kufanya. Frankly speaking, unaweza sema huyu kijana ndio anakufaa kwa sasa eti kwa sababu hajakuomba papuchi bado. No no no... hiyo bado haitoshi. You must connect in spirit and pray hard to God.... Hope you know what I'm saying. Ngoja niishie hapo at least for now....
My dear,huyu kijana naona like he come from God..mungu alisema ombeni lolote kwa jina langu ntawapa. I prayed Na naona he is mine at all.nimepata kile nilichokua naomba kwa mungu wangu.swala la kutubu it's OK,ila naona kama ndie chaguo langu. Na mungu amesema ntakupa wa kufanana nae. 85% kanifanana but still naomba kama he is the one ntkuja kurejesha matokeo ya ndoa hapa hapa JF in God I trust yo
 
Kwenye ndoa wengi tunakimbilia tu kuangalia kama mwenza anafaa au hafai.

Lakini huwa tunajipima kama sie tunamfaa huyo mtu? Ukiangalia utayari wetu.. Hapo uko kwenye mkakati wa ndoa halafu babu bado umeng'ang'ana naye.

Je si linatoa picha ya mke utakayekuwa?

Ni wazi huko mbele kutakuwa na shida tena ambayo chanzo chake ni wewe.

Msingi mbovu nyumba mbovu. Na si vinginevyo.
Sijamng'ang'ania babu, ndo mana nikaomba mnipe tecs za kumwambia kinachoendelea.vinginevyo nisingejichoresha humu kama eti natembea Na mme wa mtu
 
Back
Top Bottom