Diamites International.

Tekenya

Member
May 24, 2011
67
9
Wadau naomba mwenye details kuhusu diamites int. anambie please, ni nin na wanahusika na kazi gan, na malipo yao yakoje, maana nilitumiwa ujumbe niende kwenye majadiliano sinza mori na mim sipo karibu na dar. naomben mnieleweshe wadau mnaofahamu.
 
hilo tangazo la kazi uliliona kwnye gazeti la udaku au?manake sinza mori makampuni yaliyoko pale ni ya kutembeza mabakuli tu,dawa za mswaki,mabeseni,shtuka mkuu
 
Hiyo ni GNLD,kuuza dawa vitu kama hizo!jamaa wajanja kwel yaan hicho walichokwambia ni sehemu ya kilefu cha GNLD,so wameona wakikwambia kifupi utaijua na kupotezea!
 
Teh teh teh!!!! aksante kwa taarifa mkuu, hapo nimepata picha.
 
hilo tangazo la kazi uliliona kwnye gazeti la udaku au?manake sinza mori makampuni yaliyoko pale ni ya kutembeza mabakuli tu,dawa za mswaki,mabeseni,shtuka mkuu

hapana sikuliona kwenye udaku, nilishangaa napata sms, tena alonitumia kataja na jina langu, wanataka kufanya kazi na mimi ktk mda wangu wa ziada, niende leo sinza mori saa 5.30 asubuh, nikapiga hesabu ya kuja nikaona sitaweza kuwahi nikaona niwaulize wadau kwanza.
 
Hakuna kazi hapo,hii ilishawatokea wengi ndugu yangu kwa walioko hapa dar wanajua,yani wanataka utoke mkoani kuja kufanya kazi ya kutembeza vyombo,kama unataka njoo,ila utajutia nauli yako
 
mi walinitumia sms eti kyalow tumeambiwa na rafiki yako kua wewe ni mchapakazi hodari,kwa hiyo tunahisi unaweza kufanya kazi na sisi kwa maelezo zaid njoo sinza mori kesho saa 5;30,nika i google hiyo diamate internation kujua inahusika na nini sababu sikutuma application nkagungua ni kama forever living nkatupa kule
 
Hakuna kazi hapo,hii ilishawatokea wengi ndugu yangu kwa walioko hapa dar wanajua,yani wanataka utoke mkoani kuja kufanya kazi ya kutembeza vyombo,kama unataka njoo,ila utajutia nauli yako

Aksanten kwa taarifa.
 
Hiyo ni network marketing business hakuna hata mtu mmoja aliyekupa maelezo ya kueleweka hapa,nimeona comment eti wanatembeza bidhaa kitu ambacho sicho ila ni kawaida ya wengi kujifanya wanajua kumbe hawajui.Nakushauri mtafute mtu anayeifanya akupe details za uhakika au search kwenya Internet na watu kama R. Kiyosaki wameandika vitabu jinsi hiyo business inaweza kukupa utajiri.
 
Hawa jamaa wanachekesha umma...yaani wanafanya kaz ya kubahatisha tu namba za watu na kuwa tumia meseji! Ipo siku watamtumia hata mke wa waziri mkuu...!
 
Kabla sijaanza nilikuwa na mawazo kama yako but katika biashara kuna kitu kinaitwa referal system.... Unaomba contact za watu ambao pengine wangependa kusikiliza opportunity na mtu anakupa namba za marafiki,ndugu ama jamaa anaowafahamu.
 
hilo tangazo la kazi uliliona kwnye gazeti la udaku au?manake sinza mori makampuni yaliyoko pale ni ya kutembeza mabakuli tu,dawa za mswaki,mabeseni,shtuka mkuu

mimi nilipomaliza chuo niliona tangazo la kazi nadhani lilikua gazeti la udaku mahali pa interview hapo Sinza. kufika pale sikuwaelewa jamaa nikakuta vijana wengi wanafundishwa kama nyimbo na mazoezi mbalimbali ya kujenga team work baadae tukatolewa kwa magroup nikondoka na dada mmoja na wengine watatu wana mizigo ambayo sikujua ni vitu gani.on the way wakawa wananishauri maisha ni popote chamsingi ujipange na kuanza kwa namna yoyote. mara tukaingia get la wizara ya maji pale ubungo koote huko tumetembea kwa mguu. wkaniambia wewe baki hapa getini hujawa mwenyeji watakuzuia kuingia. wao wakachukua baadhi ya mizigo wakaniachia baadhi ya mizigo.walipoenda huko ndani nikaikagua kukuta ni dawa za miswaki, sabuni, na products kibao za alovera. yaani nilivyo kasirika mizigo yao niliacha hapo getini wala sikuaga mtu nikapotea zangu
 
Mzee nikwambie kitu hii biashara inawapa wengine hela nyingi sana lakini si kwa kutembeza ila Kila mtu ana akili zake ndio maana utaona wengine wanatembeza mie sijawahi kufundishwa hivyo wala kufanya hivyo.Na mtu yeyote a natakiwa kujiuliza unaweza kutembeza budhaa ukajikimu kimaisha?
 
io
kitendo cha kutembeza sabuni kwenye mfuko wa rambo kwa kweli kilikua mbali sana na taaluma na uwezo niliojengewa kibiashara ila haya mambo ya ajabu saba yule mzee anayemiliki peacock hotel alikua anaelezea alivyoanza biashara hadi akafika hapo kweli hakuna njia ya mkato kwa matajiri wa ukweli amefanya biashara za ajabu na ndogo mno, hata yule mmiliki wa riverside nasikia kaanzia kushona viatu
 
Safi sana kama unayajua yote hayo unabaki na nafasi ya kufanya uamuzi juu ya nini hasa unataka then uchukue hatua.

Pia narudia tena hii biashara siyo ya kutembeza bidhaa, ni ya kujenga network na kwenye hiyo network hizo bidhaa zinamove.
 
Wanauza products za Alovera hao kaka,dawa za mswaki,body lotion etc

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom