Utakua ulienda kipindi wamefiwa na Mkurugenzi wao wa idara ya utumishi na utawala ambae kazikwa siku chache zilizopita. Kwa ofisi yeyote kipindi cha kua ktk msiba kama huo huwezi tegemea huduma iendelee kama kawaida. Hata hao walijitahidi kuacha mtu/watu hata wa kuelekeza nini kinaendelea
Bila shaka mtoa mada either ana mapenzi binafsi na pspf au kwa makusudi kaamua kupotosha umma. Kinachopelekea kuunganishwa mifuko na kuunda mfuko mmoja wa kuhudumia watumishi wa umma ni hali mbaya ya mfuko wa pspf. Ktk kuunganisha huku pspf inaenda ikiwa na loss (negative assets) wakati lapf na...
Duuuh pole ndugu yangu. Najua kwa kuweka huu uzi ujumbe wataupata na kwa kufuta aibu watashughulikia file lako asap. Cha msingi ni kuwapa elimu hasa vijana wanaoingia kwenye soko la ajira kua makini. Jamaa huwa wanazoa vijana na kuwaingiza kwenye huo mfuko kwa kufata mkumbo kwa kuhadaika na...
Wakuu nimepata kagari kengine naona haka nikauze. Ni toyota fielder ya 2003. Engine capacity ni CC 1490. full time 4WD. kako vizuri sana. nakauza kwa vile bado nimepanga kwa hiyo kua navyo viwili naona sio proper sana. ndani kasafi. kana mziki wa kutosha sana. kila kitu kina function as...
huyu dada lazima ajaribu kumjua huyo jamaa yake kabla hajaanza kulaumu hamjali.tumelelewa kutoka mazingira tofauti jamani.wengine mazingira tuliyolelewa hata kambi ya jeshi ina afadhali.so tafsiri ya neno "kujali" lazima itatofautiana.wengine utotoni tu unakaa mwezi hujaongea na baba wala mama...
kuajiriwa nduio hatua ya kwanza kuelekea kujiajiri.hakuna mtu anaanza kujiajiri bila kua na mtaji walau mdogo.mpe solution sio kumkatisha tamaa na misemo iliyo sheheni kiingereza kigumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.