NSSF haooooo!!

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,428
1,475
Heshma kwenu wana jamvi.Ndugu yangu jana kapgiwa cmu kuwa ajiandae na oral interview ya jumatano tarehe 28.Wengne leo asubuh wamepgiwa waende alhamis ya tar 29. Bdo cjajua kama wataendelea kuita au laa.Hyo ni info fupi nloipata jana na leo .Kama kuna mdau mwenye taarifa tofauti na hii atujuze ili tuwape ndugu zetu walio mbali wanaoish USANDANGONGELE.sankyu
 
Dah huu mwaka wangu naona masika inaisha bado niko nyumbani na NSSF nao wamenichinjia baharini!! :peep:
 
Hao jamaa wananichefua kinoma sina hata interest nao,kwanin michango yetu wanakopeshwa mafisadi ambao si wanachama kabisa?? Ebu waulizeni ma interviewer hilo swali!!
 
duh kumbe nao wameita, matumaini yanazidi kupungua maana kila kona saivi ni kutoswa tu:thinking:
 
kwann wasitoe shortlist kwenye magazeti au kwenye mtandao wao wengine simu tumeweka bond au wengine tunapokaa net work ya mgao daaah haya maisha mtu akijinyonga usimshangae lo kweli maisha ya kusaka ajira yamevaa kimini yanabana kinoma
 
Mi si nilisoma hapa kwamba watu walishaanza kazi? na hiyo interview ni mchanga wa macho?
 
Ila tunaomba nyie mlioitwa mtujuze mliomba nafasi zipi manake inasemekana watu walioitwa ni watu walioomba post za accounts,sasa mlioitwa au wenye ndugu walioitwa tunaomba mtujuze!
 
Jamani vuteni subira kuna mdau kaniambia zoezi la kuita linaendelea na kesho watu wataendelea kupigiwa cm, hivyo simu zenu ziendelee kuwa hewani
 
mi ndugu zangu nimeitwa kwenye post ya operations officer,nimepigiwa simu jana jioni,nimeambiwa itafanyika jengo la benjamin mkapa tower ijumaa tar 30 saa 2 asubuhi,tuombeane jamani mtaani waya mkali sana
 
Fikra finyu na uoga Wa maisha, Kwani lazima uajiriwe? Utangoja sana, the wise says, the priority of priority is to know what is priority than wasting your time and find when it is too late that NSSF na Ajira havikuwa priorities.

Dah huu mwaka wangu naona masika inaisha bado niko nyumbani na NSSF nao wamenichinjia baharini!! :peep:
 
Fikra finyu na uoga Wa maisha, Kwani lazima uajiriwe? Utangoja sana, the wise says, the priority of priority is to know what is priority than wasting your time and find when it is too late that NSSF na Ajira havikuwa priorities.

kuajiriwa nduio hatua ya kwanza kuelekea kujiajiri.hakuna mtu anaanza kujiajiri bila kua na mtaji walau mdogo.mpe solution sio kumkatisha tamaa na misemo iliyo sheheni kiingereza kigumu
 
Heshma kwenu wana jamvi.Ndugu yangu jana kapgiwa cmu kuwa ajiandae na oral interview ya jumatano tarehe 28.Wengne leo asubuh wamepgiwa waende alhamis ya tar 29. Bdo cjajua kama wataendelea kuita au laa.Hyo ni info fupi nloipata jana na leo .Kama kuna mdau mwenye taarifa tofauti na hii atujuze ili tuwape ndugu zetu walio mbali wanaoish USANDANGONGELE.sankyu

jamani naombeni mnisaidie, hivi NSSF wameita oral interview kwa walioomba post ya finance, my young sister is very desperate right now na alikuwa anategemea sana, mpaka sasa hivi hajaitwa.
Naomba mwenye taarifa au ambaye ameitwa kwa hiyo nafasi anijuze tafadhali ili kama wameita nijue namna ya kumkansel.

thanks.
 
hawa watu bana ndio hivyooo wana watu wao wanakaa kusumbua watu tuuu mjini nawaombea heri wale wote waliiopigiwa cm kwa second interview
 
Helo, post ya finance wameshaita, interview ingekua kesho mchana but wameipeleka j3 mchana.

Back
Top Bottom