Lori lagongana na gari ndogo na kusababisha kifo cha dereva Iringa

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Ajali ya gari lori na gari ndogo aina ya IT zimegongana maeneo ya Mkawaganga Kilolo Iringa na kusababisha kifo cha dereva wa gari ndogo..

Pole kwa wafiwa.

48602f42-936d-4381-ac85-f0874703ae68.jpg

f75c6df2-4638-47f5-829d-39af6e8dfa60.jpg
 
Aiseee!
Pole kwa woote wanaohusika! Mungu awatie nguvu wafiwa...
 
Inna Lilahi Wainna Ilayhi Raajiuun.

Wafiwa poleni sana, kwa kuondokewa na kipenzi chenu
 
Back
Top Bottom