Namna ya kumsaidia mtu kupata mafao yake PSPF

Duuuh pole ndugu yangu. Najua kwa kuweka huu uzi ujumbe wataupata na kwa kufuta aibu watashughulikia file lako asap. Cha msingi ni kuwapa elimu hasa vijana wanaoingia kwenye soko la ajira kua makini. Jamaa huwa wanazoa vijana na kuwaingiza kwenye huo mfuko kwa kufata mkumbo kwa kuhadaika na matangazo yao.
 
Pole sana mdau, hayo ndio matatizo ya watu kukalia viti wasivyostahili.
Hakuna aja ya wewe umuone nani, kinachotakiwa ni wewe kukidhi vigezo vyao. Nenda na taarifa zako zote.
Mungu ni mwema atamtetea mgonjwa wenu na atamponya hima.
 
Wana utaratibu mbovu sana. Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu.
Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao ndio wanakupa majibu ya hali ilivyo kwenye file la mtu wenu. Kwamba hazina haijapeleka makato, ila unaweza kuwasiliana na CUSTOMER CARE MANAGER, yeye atajua namna ya kushughulikia madai yenu kwa haraka.

Tatizo sasa, ni namna ya kumpata huyo Customer Care Manager, mara uambiwe hayupo ofisini, mara uambiwe simu yake inaita tu bila majibu. Jamani tufanyeje sasa sisi watu wa huku mbali, na ndugu yetu ni mahututi? BACK TANZANIA
 
Pspf ni janga nina ndugu zangu wawili wanaathirika na hali kama hiyo ya kupigwa kalenda, mnaenda mbele hatua 2 mnarudi nyuma 8, wanachokifanya ni sawa na sanaa tunazopigwa na tanesco wakati huu hamna msema kweli
 
Pole sana mdau, hayo ndio matatizo ya watu kukalia viti wasivyostahili.
Hakuna aja ya wewe umuone nani, kinachotakiwa ni wewe kukidhi vigezo vyao. Nenda na taarifa zako zote.
Mungu ni mwema atamtetea mgonjwa wenu na atamponya hima.

Tatizo ni huu usumbufu wa kwenda Dar, gharama na n.k. Wakati haijulikani ni lini watalipa. Hivi hakuna mtu anayeweza kutusaidia?
 
Pspf ni janga nina ndugu zangu wawili wanaathirika na hali kama hiyo ya kupigwa kalenda, mnaenda mbele hatua 2 mnarudi nyuma 8, wanachokifanya ni sawa na sanaa tunazopigwa na tanesco wakati huu hamna msema kweli
Hivi hakuna mtu tunayeweza kuwasiliana nae pale
 
Suala ni tunaenda kumuona nani? Na anaweza kutatua shida hiyo kwa muda gani? Kwanini kuwe na usumbufu kiasi hiki inapofikia mstaafu kulipwa mafao yake?
Kwanini hiyo hazina haipeleki hizo pesa za makato hadi pspf wanafikia hatua ya kukosa majibu?

Kamuoneni bosi mkuu wa huo mfuko.
Hakikisha unamtafuta mwanasheria wa kwenda kuongea nae hadi anawapa jibu la uhakika ambalo ni cash.
 
Suala ni tunaenda kumuona nani? Na anaweza kutatua shida hiyo kwa muda gani? Kwanini kuwe na usumbufu kiasi hiki inapofikia mstaafu kulipwa mafao yake?
Kwanini hiyo hazina haipeleki hizo pesa za makato hadi pspf wanafikia hatua ya kukosa majibu?

Kamuoneni bosi mkuu wa huo mfuko.
Hakikisha unamtafuta mwanasheria wa kwenda kuongea nae hadi anawapa jibu la uhakika ambalo ni cash..
 
Hivi hakuna mtu tunayeweza kuwasiliana nae pale

Mnahangaika na simu wakati utakuta kuna mjanja amechukua hiyo hela anaizungusha kwenye biashara yake.
Simu haisaidii kitu.
Nenda reception waambie mnataka kuonana na bosi. Fanyeni njia zote muonane naye.
Msikubali jibu la kienyeji toka kwa receptionist.
 
Hivi hakuna mtu tunayeweza kuwasiliana nae pale

Mnahangaika na simu wakati utakuta kuna mjanja amechukua hiyo hela anaizungusha kwenye biashara yake.
Simu haisaidii kitu.
Nenda reception waambie mnataka kuonana na bosi. Fanyeni njia zote muonane naye.
Msikubali jibu la kienyeji toka kwa receptionist..
 
Hili shirika limefilisika,kama una hela yako huko imepotea
 
Mchukueni huyo mgonjwa muende nae hapo PSPF,NA ukoo wrote NA ITV,Channel Ten,Star TV, magodoro,mabegi,mkapige kambi hapo
 
Duuu hii kali!!
Ila Sio siri yaan nmepatwa na ganzi kusikia habar za hili shirika maana na mimi ni mwanachama... Naomba MABADILIKO yaje kabla cjafikia mwisho wa kuchangia...
 
PSPF ifutwe kazi yao ipewe mifuko mingine.
SSRA madai ya wastaafu wa PSPF yafuatilie au ndo shirika limekufa! Mwaka mzima wa kudai hadi watu wanazima simu na kujificha hadi mtaani si bure. Rahamstaafu alipwe chake siyo kuwa ombaomba.
 
PSPF ifutwe kazi yao ipewe mifuko mingine.
SSRA madai ya wastaafu wa PSPF yafuatilie au ndo shirika limekufa! Mwaka mzima wa kudai hadi watu wanazima simu na kujificha hadi mtaani si bure. Raha ya mstaafu alipwe chake siyo kuwa ombaomba.
 
Mnahangaika na simu wakati utakuta kuna mjanja amechukua hiyo hela anaizungusha kwenye biashara yake.
Simu haisaidii kitu.
Nenda reception waambie mnataka kuonana na bosi. Fanyeni njia zote muonane naye.
Msikubali jibu la kienyeji toka kwa receptionist..

Ngoja tujichange. Ushauri huu ni wakufanyia kazi.
 
Huu mfuko hamna kitu! Wanatangaza kuwa wanatoa fao la uzazi lakini ukienda wanakwambia ni kuanzia mwaka wa fedha unaokuja!
 
Back
Top Bottom