BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,175
- 1,189
1. Wafanyakazi wenu wana nyodo hatari
Ukiingia ofisini no customer care, yaani mteja unaonekana kama kinyesi ( hasa makumbusho) shida tupu badilikeni maisha yenu yanaendeshwa na jasho letu tunalovuja huku kwa waajiri.
2. Wafanyakazi kutokuwepo kazini
Unashida zako utaambiwa mara anaeshughulikia tatizo lako ameenda msibani, jamani misiba mnapta nyie tu? Muogopeni mungu kusingizia misiba, msijitengenezee laana zisizo na sababu.
3. matatizo kutoshughulikiwa kwa wakati
Mtu anasugua gaga kuja ofisini kwenu kwa mda wa miezi mitano kila ukienda unapangiwa tarehe, kila ukienda unapigwa tarehe as if unahudhuria clinic, sasa kama mnashindwa kutatua shida kwa wakati hapo ofisini mnafanya nini?
Matatizo yanapokuwa hayatatuliwi kwa wakati yanasababisha umaskini maana kila siku unapoteza mda kufanya kitu hicho hicho.
NB: Badilikeni, next time ntakuja na list ya majina ya watumishi ambao utendaji wao wa kazi hauridhishi. Hasa hasa ofisi za MAKUMBUSHO.