Recent content by seifutz

  1. seifutz

    JamiiForums Tanzania U-turn 5 za Rais Samia kutoka kwa Hayati Magufuli

    HUYU MAMA MM BINANSI SIMPENDI HATA KODOGO, KIASI NIKIONA HATA BANGO LAKE NATAZAMA PEMBENI
  2. seifutz

    JamiiForums Tanzania Bila gharama hakuna mafanikio

    Maisha ni gharama hakuna maisha kama utakwepa gharama. Chochote unachotaka kiwe lazima utumie gharama ndio kiwe. Gharama inaweza kuwa ya muda au mali lakini lazima utumie gharama kutimiza jambo unalotaka. Mara zote watu wanaokwepa gharama katika maisha yao huwa ni dumavu kimaendeleo. Hakuna...
  3. seifutz

    JamiiForums Tanzania Njoo Uchukue Milioni Kesho

    Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini bado nafasi ya kwenda utaipata. Huwezi kusema samahani naomba nije kuchukua keshokutwa, huwezi sema nitakuja jioni naomba...
  4. seifutz

    JamiiForums Tanzania Njia 9 za kutangaza biashara yako bila pesa

    Matangazo ni swala muhimu kwa kila biashara. Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa. Naamini wewe kama mjasiriamali unafahamu kuwa kuna wakati bajeti ya biashara inakuwa imebana. Hivyo swala la kujitangaza linakuwa na...
  5. seifutz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafuta wa saizi yako...

    Mahusiano ni maisha, Katika Kipindi ambacho bado upo Duniani Huwezi kukwepa Kutafuta Mwenza, Sasa Usifanye Kosa la Kulazimisha mapenzi, Yatakula Furaha yako ,Yatakula Muda wako na yatakuondolea hadi Mood ya kupambana Kimaisha. Tafuta wa Saizi Yako. Wa Saizi Yako ki uchumi Wa saizi yako Ki...
  6. seifutz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

    Wao marais wa Africa ndio wanajipendekeza Ulaya
  7. seifutz

    JamiiForums Tanzania Teksi zageuka kuwa shamba la mboga Thailand

    Baada ya msoto mrefu uliosababisha Madereva Taxi wa Thailand kukosa pesa kutokana na sheria kali za Nchi hiyo kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona na kukosekana kwa Wageni kwenye mji mkuu wa Bangkok, Madereva Taxi wameamua kuzigeuza gari zao kuwa 'mashamba madogo' ya kuotesha mboga juu yake...
  8. seifutz

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu Kama Unataka Kufanikiwa Biashara Mtandaoni

    Hizi hapa njia ili kufanikiwa kuanza biashara yoyote mtandaoni Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kuanza biashara yoyote mtandaoni basi nakukaribisha kwenye makala hii, Kupitia makala hii nitakwambia mambo ambayo unatakiwa kujua kabla ya kuanza biashara hiyo ikiwa pamoja na njia za...
  9. seifutz

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumiliki Brand

    Kama unataka kuanzisha biashara, au umekwisha anzisha, basi hii mada inakuhusu. Na hata unataka kuajiriwa au unatafuta kazi bora zaidi uliyonayo, ni jambo la msingi kujua namna ya kuwa na Brand inayouzika. Maana ya Brand Branding ni namna ya kutengeneza HISIA chanya mbele za hadhira. Ni namna...
  10. seifutz

    JamiiForums Tanzania Je, Unahitaji Website: Ofa Maalum ya Website kwa Wajasiriamali wadogo 50% OFF?

    Mm mahitaji App
  11. seifutz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumuacha aende

    • Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. Muache aende! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi... Muache aende! • Wewe ni wa...
  12. seifutz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

    Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli...
  13. seifutz

    JamiiForums Tanzania Baadhi Ya Dhana Za Masikini kuhusu Pesa.

    Safi sana
  14. seifutz

    JamiiForums Tanzania Baadhi Ya Dhana Za Masikini kuhusu Pesa.

    • Fedha ni dhambi. • Watu wenye fedha ni wabinafsi. • Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu. • Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha • Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k
Back
Top Bottom