Recent content by seem seem

  1. S

    Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Nimejifunzaa mtu mweusi Hana rafiki wa kweli wengi ni wanafiki,,jiamin wew mwenyew na maisha yakoo
  2. S

    Wale tuliokimbiwa na wanawake kwasababu ya kutikisika kiuchumi/ kufulia tukutane hapa

    We jamaa hujui maisha mie mke wangu nimeachana nae mwe wa kwanza wa Saba kaolewa kwa harusi ,nilipmpenda but alintamkia hajawahi tembea na mwanaume maskin na Mimi sio mwanaume kati ya wanaume alio tembea nao.
  3. S

    Kwanini kuna kasi ya wanafunzi kuacha shule hasa wa kiume? Taifa linaangamia

    Mimi mwenyew naona Bora nisinge somaa kabisaa,,madogo walio acha shule Wana magar msomi nahangaika tuu
  4. S

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Gender,male Education, operator,,folk lift,excavoter, Experience three years Location iringa Naweza fanya Kaz popote naomben connection wakuu.
  5. S

    Ulimwengu unatufundisha kitu tusichokielewa

    Samahani kaka mshana ,nilisha wahi kuja inbox kwakoo ukanisaidia kuhusiana na nyota,,,Nina shida naomba unielekeze kama ni tatizo au laa,, kila navoo endaa kazini asubuhi huwà natumia pkpk ,,napita kwenye pori na Kuna ndegee anae fanana na njiwa pori ,,yule amekaa kama amelembwa na mzuri sanaa...
  6. S

    Kama unahisi una mapungufu ya nguvu za kiume oa bikra

    Kwanzaa mwanamke siku izi sio wakuachia nyama wapike pekee Yao ,ukirudi utaskia mume ila nyama ilikua mifupaa tu.
  7. S

    Natafuta soko la majani ya chai kwa madaraja yote

    Samahani wapendwaa natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote Bf1 na Bf2, hivyoo kwa mtu yoyote anaejua connection na watu wanaoweza kununua naomba aniunganishe nao, awali wanunuzi wangu walikuwa wahindi, kwa sasa nilipoteza mawasiliano, bei yangu ni nzuri na ya kuelewana Asante.
  8. S

    Natafuta soko au mnunuzi wa majani ya chai

    Habari, Kama kichwaa kinavo jielewaa hapo juu, natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote yaan Bf1 ubora wa kwanzaa na Bf2 ubora wa pili, majani yapo ya kutoshaa, hivyo naomba mwenye kuniunganisha na wafanya biashara watao hitajii kuchukua mzigo mkubwaa na mdogo kwa bei poa kabisaa, awali...
  9. S

    Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

    Naomba unikope laki 6 niongezee kwenye mtaji wangu wa mbao ,,nilipe mafundi ntarudisha kwa liba.
  10. S

    Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Mmmmh endeleeni kujifariji
  11. S

    Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Mnadanganyana sanaa ,,Kuna watu wanaimba sanaa hukuu mtaani
  12. S

    Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Mie naoga vvu tu aids na ukimwi siogopii? Sent from my itel S663L using JamiiForums mobile app
  13. S

    Hodi Mwanza, vipi biashara ya kuku broiler inalipa?

    Umeongea point sanaa mkuu mwenyew nimeona hi ivyoo Sent from my itel S663L using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom