Natafuta soko au mnunuzi wa majani ya chai

seem seem

Member
Aug 5, 2023
46
69
Habari,

Kama kichwaa kinavo jielewaa hapo juu, natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote yaan Bf1 ubora wa kwanzaa na Bf2 ubora wa pili, majani yapo ya kutoshaa, hivyo naomba mwenye kuniunganisha na wafanya biashara watao hitajii kuchukua mzigo mkubwaa na mdogo kwa bei poa kabisaa, awali nilikua nawauzia wahindi baada ya kupotezaa mawasiliano ndio nikaamua kujaa hapa jukwani kuomba connection. Kwa mawasiliano na bei njoo inbox.

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom