Nimejiunga GB 4 kwa week ila kesho yake tu ishaisha wakati sijadowload mavitu wala sijaangalia you tube. Nimekuwa nikivumilia ila hii imezidi. Imebidi nijaribu kwingine nikanunua GB 1 kwa siku tatu, imeenda vizuri leo siku ya tatu bado zimo 140 MB.
Kwaherini nyinyi si saizi yangu.
Watu kweli wana hela za mchezo, mtu anatoaje hela zote hizo? na wanaopigwa wengi ni wasomi na watu wanaojitambua tu.
Dunia ya sasa hakuna namna ya kupata faida kirahisi kama wanavyoaminisha watu. Ni bora hiyo hela mtu ungefanya mtaji ukafungua kibiashara walau ungeona faida kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.