Habari za mchana wadau. Mimi nlipata matatizo nikaacha chuo bugando. Bahati nzuri mungu kanikumbuka nmepata sponsor anataka nisome education in biology and chemistry mpaka PhD. Lengo niwe lecture. Nina division one both olevle na advance. Kanisahuri niapply UDISM mwaka huu. Je kwa maoni yenu ni uchaguzi sahii. Naomba ushauri siyo kejeli maana Baada ya kuacha Masomo ya udaktari bugando mwaka Jana nlikata tamaa.