Recent content by SECONDLADY

  1. SECONDLADY

    Godbless Lema hamia Dar es Saalam kwa muda

    Dar es Salaam sijui wamelaaniwa? Wako busy na vitu vingine. Alafu ndo jiji linaloongoza kwa uchafu, foleni, mgawo wa umeme, shida ya maji, Elimu duni (kasoro shule za private) na mengineyo. Lakini watu kama wamefumbwa macho
  2. SECONDLADY

    boxsi la chaki na shilingi elfu mbili ili apewe barua

    Kisheria si halali na hairuhusiwi. Ila ninachoona gharama ya kwenda kutafuta haki mbele ya sheria ni gharama zaidi kuliko kutoa hiyo chaki na sh. 2000. Amua mojawapo
  3. SECONDLADY

    CCM wafanya siasa za ukabila Sombetini Arusha ni ktk kinyang'anyiro cha Udiwani

    CCM wangekuwa na akili wasingeweka mgombea Sombetini maana watalia kichapo cha mbwa mwitu
  4. SECONDLADY

    Rais anisukuma nipigane vita

    Good, Duniani hakuna siri. Mwigulu jiandae kuja na mashahidi kutoka mbinguni utakapopelekwa The Hague
  5. SECONDLADY

    Kuwa na mke mwana siasa yataka moyo....

    Wanaume wengine mimi hata siwaelewi. Hivi hamuwezi kujifunza na kuamua ni aina gani ya mwanamke upende? Mbeba mkokoteni wa mbagala unajipeleka kwa Wema sepetu wapi na wapi
  6. SECONDLADY

    Nawezaje kublock namba ya mtu asinipate akinipigia natumia nokia asha

    Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui
  7. SECONDLADY

    Nawezaje kublock namba ya mtu asinipate akinipigia natumia nokia asha

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi
  8. SECONDLADY

    Zitto: Watu wanaishi maisha ya uwongo na Fitna, Sina tatizo na Dr. Slaa

    Mheshimiwa ZZK, ulianza siasa za Tanzania kwa kuchora mstari kati ya mafisadi na watanzania walala hoi ambao ulijinadi kuwatetea. Nakumbuka stories za Buzwagi, Barrick, na mengine mengi. Mimi kama mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu nilijua kamwe ZZK hutaingia kwenye siasa za majitaka. Lakini...
  9. SECONDLADY

    Why men cheat? And why women cheat?

    Men Inasemekana ni hulka, hata umpe nini, atakucheat. Women Inasemekana wengi wao ni kutoridhika na aliye naye na tamaa ya pesa/mali. Wewe unadhani sababu za msingi ni nini?
  10. SECONDLADY

    Watanzania nani katuloga?

    Kwa wale ambao ni Wakristo, mtakumbuka Mtume Paulo katika Wagalatia 3:1 aliwaambia Watu wa Galatia maneno haya, "Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?" Naomba nitumie mtazamo huu, kuwauliza watanzania...
  11. SECONDLADY

    I know am guilty, help me get out of this mess

    Kwanza kabisa niseme am new to JF and this is my first post. Najua kwa jinsi nilivyokuwa nikifuatilia post za hapa kabla ya kujiunga rasmi, kwa nature ya post yangu kuna watakaonishambulia sana, plz dont do that. Kama una la kunishauri its ok, kama huna pita tuu coz, matusi hayatasaidia kitu...
  12. SECONDLADY

    Lowasa aukana urais

    Always, ukweli ni mchungu, lakini inabidi usemwe. Lowassa ni fisadi, ni kweli, lakini watanzania wengi wanamkubali, huo nao ni ukweli hata kama hatuutaki. Katika pita pita zangu kila sehemu ninayofika hata kama ni safari za mikoani huwa najaribu kuchokoza mada za siasa ili kupata mawazo yao...
Back
Top Bottom