Kuwa na mke mwana siasa yataka moyo....

Kuwa na mke mwana siasa yataka moyo....

inabidi uwe bodigadi wake c unaona basha na mkewe, hali kadhalika obama na mkewe
 
Wanaume wengine mimi hata siwaelewi. Hivi hamuwezi kujifunza na kuamua ni aina gani ya mwanamke upende? Mbeba mkokoteni wa mbagala unajipeleka kwa Wema sepetu wapi na wapi
 
Basi nashauri mkaoe bongo movie women! Hahahaaa! Dem ka shilole, balaa!

Nimeona pic yake moja kule uk ananyonywa utamu na shabiki wake!
 
Mmmh... Hivi mikokoteni ya dar na mikoa mingine ni tofauti eenh!

Ya dar inabebwa?

Sie huku UK tunavuta na kusukuma!

Wanaume wengine mimi hata siwaelewi. Hivi hamuwezi kujifunza na kuamua ni aina gani ya mwanamke upende? Mbeba mkokoteni wa mbagala unajipeleka kwa Wema sepetu wapi na wapi
 
je, walioolewa na wanaume wanasiasa ndoa zinakuwaje kwao?
 
cc watu8 kabanga venine SANGARA Kongosho @Heaven on Earth DEMBA

Mara utasikia naenda iramba kueneza sera za chama,mara yuko amerika kwenye ziara ya kamati ya bunge akitoka amerika,atapitia "dubai kwa kazi maalum",hauja kaa sawa utasikia bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,una angalia tv una muona wife mjengoni kaka pembeni ya "naibu katibu mkuu" kiroho kinadundaaa daaah,bunge linaisha unavuta pumzi mama anarudi nyumban, mara ziara ya katibu mkuu au mwenyekiti wa chama jimboni kwa mkeo ohoo, baada ya siku mbili kikao cha NEC dodomaaa....kama unajifanya una mapenzi ya dhati unaweza kufa mapemaaa kwa presha ila kama una lenga kutanua kitaa na ma V8 basi kua mpole tu.....

R.I.P Amina Chifupa &Mpaka Njia
 
Last edited by a moderator:
Basi nashauri mkaoe bongo movie women! Hahahaaa! Dem ka shilole, balaa!

Nimeona pic yake moja kule uk ananyonywa utamu na shabiki wake!

Mkuu yule bint shilole mtamu sana aisee mwenye namba zake jamani...
 
Wanaume wengine mimi hata siwaelewi. Hivi hamuwezi kujifunza na kuamua ni aina gani ya mwanamke upende? Mbeba mkokoteni wa mbagala unajipeleka kwa Wema sepetu wapi na wapi

Acha kua na inferioriry attitude wewe wema kitu gani bana...
 
Mkuu yule bint shilole mtamu sana aisee mwenye namba zake jamani...

kajipendekeze kumsaidia expenses za kujenga nyumba yake mkuu!

hapo atakuachia kila kitu chake!!

wewe tu!

dar pesa!
 
Inahitaji moyo sana, ndiyo maana njemba nyingine zimewapiga marufuku wake zao kujihusisha na mambo ya siasa.
 
Back
Top Bottom