I know am guilty, help me get out of this mess

SECONDLADY

Member
Dec 22, 2013
14
0
Kwanza kabisa niseme am new to JF and this is my first post.
Najua kwa jinsi nilivyokuwa nikifuatilia post za hapa kabla ya kujiunga rasmi, kwa nature ya post yangu kuna watakaonishambulia sana, plz dont do that. Kama una la kunishauri its ok, kama huna pita tuu coz, matusi hayatasaidia kitu.

Mimi ni mwanamke umri wangu miaka 26. Baba ni marehemu, tumebaki na mama tuu na kaka na wadogo zangu. Mama hana kazi ya maana ni house wife. Na ndugu zangu pia wengi ni kujishikiza tuu hakuna ajira iliyo ya uhakika. Mara baada ya kumaliza kidato cha nne nilianza mahusiano na kaka mmoja ambaye alikuwa mfanya biashara na hatimaye nikapata ujauzito wake, hivi ninavyozungumza nina mtoto wa kiume umri miaka 6. Huyo mpenzi wangu alinifanyia visa vingi sana ikiwa ni pamoja na kunifanyia mambo ya ushirikina kiasi kwamba nilihamia kwake bila hata ya ndoa rasmi, na kila ndugu zangu wakija wakiniambia kitu nilikuwa nawaona hawana maana. Ikafika hatua huyu bwana akawa ananisaliti lakini hata sikufanya lolote, ndugu wanakuja kunitaka niachane naye lakini nikawa nawadharau.

Mwisho wa yote, mama akaja na mchungaji na viongozi wa kanisa wakaniombea wakati bwana wangu hayupo ndo akili ikanirudia, nikatafakari maisha ninayoishi. Nikaamua kurudi kwetu. Mama yangu akafurahi sana na ikawa mwisho wa mahusiano yangu na huyu bwana, japo alinidhulumu mpaka hela zangu lakini sikuona thamani ya hiyo hela kuliko ukatili aliokuwa ananitendea.

Nikiwa nyumbani kwa mama, nilikaa muda mrefu bila kupata mwanaume wa kunioa, kama mjuavyo sisi akina dada tuliozaa basi kuolewa inakuwa tabu siku hizi. Nikaamua kuwa sihitaji kuwa na mwanaume. Wakawa wanakuja wanaume ambao kimsingi sio waoaji, bali wanaotaka mechi tuu. Siku moja nikiwa kwenye basi Ubungo terminal naenda mkoani nikakutana na kijana fulani ambaye namfahamu kiasi. Ameoa na ana familia (mke na watoto). Tukasalimiana na kufahamiana kwani alikuwa ananifahamu kwa sura lakini hata jina langu alikuwa hajashika sana. Kilichofanya nimfahamu haraka ni kuwa tunaonana kanisani na mama yangu huwa anampenda sana yule kijana, yaani kila tukienda church lazima mama akamsalimie yule kaka na kumwambia karibu nyumbani. Kuna wakati tulipatwa na matatizo fulani yule kaka akawa anakuja kutusalimia na kumfariji sana mama na kuomba nasi.

Basi tukiwa hapo ubungo tukapeana namba za simu na mimi nikaanza safari. Jioni alinipigia simu kunijulia hali kama nimefika salama. Baada ya hapo ikawa sms za kawaida, mara ikawa za kuforwadiana, zikawa za jokes, etc. Siku moja na yeye akiwa safarini tukatumiana sms za usiku mwema, then akaniambia "karibu tulale wote.."
In short nikiwa katika hali ya ukame wa mombasa raha kwa muda mrefu, nafsi yangu ghafla ikamzimikia yule kaka nikajikuta katika msisimko wa hali ya juuu. From there nikajikuta katika dimbwi la mapenzi na mume wa mtu.

Umri wake ni 30s, ana kazi nzuri, mrefu mweupe si mwembamba wala si mnene sana. Really handsome. Huyu kaka anajua kufanya mapenzi sijawahi ona hapa duniani. Bwana wangu wa zamani alikuwa hajui hata kunifikisha kileleni, lakini huyu mume wa mtu dah!!! He can run the game for about 40-50 minutes. Na nikiamua kuspend usiku mzima na yeye anaweza kunipeleka hata round tano in a night na zote akahakikisha mimi nafika kwanza kileleni then ndo yeye afuate. Kufuatia hali hiyo nimejikuta nachukia wanaume wengine wote wanaonifuata fuata, i see them as rabbish.

Kilichonileta hapa jukwaani ni kwamba niko njia panda. Najua sina future na huyu mume wa mtu, na wala simsumbui sana japo ananisaidia sana katika mambo yangu. Hataki tuachane. Kila tunapokutana, ikifika muda wa kuagana huwa analia machozi, hataki tuachane. Nilivyoona hali hii inajirudia mara kwa mara nikamdadisi sana. Akiwa anatokwa na machozi akanisimulia maswahibu anayoyapata kwa mkewe. Ameniambia hawezi kumuacha mkewe kwa sababu ni ndoa iliyofungwa kanisani na kwa misingi ya kikristo haiwezekani kuachana, na pia kwa maslahi ya watoto hataki watoto wake wateseke kwa malezi ya mzazi mmoja. Kwa hiyo yuko kwenye ndoa kama kuzuga tuu. kwa sababu za kimsingi naomba nisiziweke hapa sababu hizo. Ila kama ni kweli anachosema, basi hakuna ndoa pale.

Mwanaume amechanganyikiwa na penzi langu na hataki kitu kinachoitwa kuachana na mimi pia nampenda sana. Naomba ushauri wenu jamani nifanyeje ili niwe na maisha yangu mimi kama mimi na niwe huru. Nifanyeje akili yangu ikubali kuachana na huyu mwanaume na nifanyeje ili na yeye akili yake akubali kuachana na mimi
?
:frusty:
 

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,228
2,000
Duuuh,pole sana mumie
mume wa mtu mjini hapa sumu,utakuja kupatwa na makubwa,jaribu kukaa nae mweleze kwamba wewe unahitaji kua na maisha yako,na ndoa yako na familia as well, kama ana matatizo na mkewe ajaribu tu kuongea na mke wake wasuluhishe ili waendelee kufurahia ndoa yao,wewe unasali muombe Mungu akusaidie uwe na maamuzi juu ya hilo,hata biblia imesema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
 

Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,459
1,225
Rudi tena kwenye maombi kama ulivyoenda mara ya kwanza mungu atakufungulia njia na atakuonesha nuru, kwani saiv bado upo kwenye giza totoro
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,662
2,000
Mhhhhhhhhh!

Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!

Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.

Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!

Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Pole SECONDLADY. Maisha ya ndoa ya huyu jamaa wa pili uliyekutana naye Ubungo Bus Terminal, hukupenda kuyaelezea kwa undani. Undani wa maisha ya ndoa ya huyu jamaa ndipo penye suluhisho la maisha yako. Kama ananyanyasika kwenye ndoa kwa namna ambayo talaka ni bora kwake, basi mwambie atafute namna ya kutalikiana na mkewe. Ikitokea hivyo uwe tayari kuchanganya mwanao yule wa kiume na watoto wa huyu bwana kwa matunzo.
Process ya talaka ni ndefu, yaweza chukua kati ya miaka 3-5.
While divorce is being processed remain in the background and never come out in the surface.
Mimi nachukia sana kuvunja ndoa za watu, lakini in your case (both of you) divorce would make two people happy and one sad. Kind of matrimonial democracy!
Wish you both the best.
 
Last edited by a moderator:

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,816
2,000
Sijui kwanini waume za watu huwa tunapendwa sana na hawa wadada walioumizwa na wavulana. Yani sielewi kabisa.

Ila kama una nia ya dhati ya kuachana naye, mchungaji yuleyule aliyekutoa kwa ibilisi mwombe aje akutoe kwa shetani.
 

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,410
2,000
Sijui kwanini waume za watu huwa tunapendwa sana na hawa wadada walioumizwa na wavulana. Yani sielewi kabisa.

Ila kama una nia ya dhati ya kuachana naye, mchungaji yuleyule aliyekutoa kwa ibilisi mwombe aje akutoe kwa shetani.

Alafu na wake za watu sijui kwanini tena wanawapenda vijana mabachela wenye rafiki zao wa kike ambao wanapendana tena na bado wanawaonea wivu
 

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,994
2,000
Kwa kweli hapo ni kuomba tu.
Pia a mistake/ sin is a sin/ mistake no matter how sweet it can be. Yani huo utamu haujustify makosa.
Pia tena ndoa yao kuwa mbovu ni kosa lao wote hata huyo mwanaume kwa sababu ana jukumu la kumake things right nyumbani kwake. So that
too does not whitewash ur illegal / immoral relationship.
Ushauri hapa dada yangu ni mmoja tu, wote tumekosa na kumtenda Mungu dhambi, basi kama ulivyoombewa pale mwanzo na uombe tena wote tuanze safari ya kurudi kundini...Huku misri mambo si shwari kabisa
 

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,410
2,000
Achana na mume wa mtu tumia muda huo kumrudisha kwa mke wake kwa kumshauri arudi kwani dawa ya tatizo si kulikimbia bali kupambana nalo, umri wako bado mdogo na kama utajiweka vizuri mtu anaweza kutangaza nia (mtu anaweza kukuangalia akajishauri mara mbilimbili alafu akafanya maamuzi baada ya kuona jinsi unavyojiweka ni afadhali kuliko hata hao ambao hawajazaa hasa ukizingatia kuna ambao wanaonekana hawajazaa lakini kama wasingeziporomosha wangekuwa na watoto watatu, thamani yako ipo palepale hata kama umezaa haiwezi kukuzuia kupata mume labda kama ungekuwa una watoto wawili na kuendelea hapo ndio tungeanza kuhoji)
 

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,230
2,000
waume za watu tu watamu bana .....hamna shida ww endelea naye tu mpaka mwisho utakapokuwa mwisho sababu lazima mwisho utafika tu hata kama mnapagawaje pamoja mapenzi ni ulevi mzuri sana
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,816
2,000
Alafu na wake za watu sijui kwanini tena wanawapenda vijana mabachela wenye rafiki zao wa kike ambao wanapendana tena na bado wanawaonea wivu

Ndio ujue dunia imekwisha. Manake utakuta tena hao gelfrendz wa mabachela wanagegedwa na vizee kama babu zao.

Nadhani ndo maana ushoga na usagaji unashika kasi.
 

Ablessed

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
4,616
2,000
Aisee pole sana kwa unayopitia. Kutokana na maelezo uliyotoa hapo juu inaonyesha ushampenda huyo ndugu na kumuacha inahitajika nguvu ya ziada ama kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote. Fuata ulivyoshauriwa na wakuu, bora urudi kwa mchungaji akakuombee kama uliombewa na ule mtego wa shetani ukakuachia basi hili ni dogo sana kwake. Unachotakiwa kufanya ni uwe na nia ya dhati ya kumwachilia huyo mume wa mtu . Tena muombe huyo mchungaji wakati wa maombi hayo akuombee pia upate mume wa kukufaa ili pawe na replacement mara baada ya mume wa mtu kuondoka.

Nyongeza.
Halafu hapa mmu kulikua na ndugu anatafuta muke ya kuwowa hebu pitia post yake anaonekana alikua serious ktk hilo check kama unavigezo anavyotaka.
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Naona umepata ushauri uliosheheni, ufuate. Pia kumbuka, kitendo cha kuwa na huyo mume wa mtu, kinakupotezea muda na nafasi ya kuwa na mumeo ambaye Mungu kakupangia.
 

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
dada achana na uzinzi yaani wewe unaweza kutaman kuolewa na mtu kisa ngono!je akipata ajal akashndwa?muache huyo yataisha ya nyumban kwa mkewe nawe muombe Mungu bado mdogo utapata mume tena fundi mara tano ya uyo mzinzi mwenzako.
 

LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
mume au mke wa mtu ni sumu. usipoangalia yule jamaa na mapepo yake atakurudia!
unasema mume wa mtu anajua mapenzu hujawahi ona duniani. umenitisha mdada!!!!
 

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
2,000
Duh ngumu! Pole sana mpenzi! Kwa akili ya kawaida apo wajidanganya!
Me nakupa option mbili;
1) We mtumie fanya mambo yako ya maana..nyumba ,biashara nk..
Hehehehe mi mbaya!) then umwache taratibu...umwambie mkewe amekuomba for the sake of the kids.
Yani taratibu tuu sio kurupu! Au umwambie umepima unangoma nae akapime heheheh ila goma kwenda nae:)

2) mwelezee mchungaji ila usimtaje uyo kaka ye akuombee ingeneral af kuhusu mume wa mtu. Af kuwa na imani through kujijengea nia ya kuachana nae kimaukwelii..ila atlst uwe ushajiwekeza vizuri shost usijkute ndo umechezea Asernal miaka yote kwa mkopo...hehehe

nb; shit happens anyway!
goodluck
:)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom