Recent content by Se-qu-el

  1. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania BRT vs Circular Rail

    yap, treni za mjini ndiyo suluhisho la traffic volume iliyopo sasa hivi
  2. Se-qu-el

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mchanaga huyu mama neema.
  3. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    BODMAS/MAGAZIJUTO hakuna formula tofauti casio yupo sahihi, hiyo ya tecno alitengeneza hiyo software ya calculator ndiyo kachemka.
  4. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Hii ni sawa na Mchj au Padri ambaye hataki maongozi ya Mungu na maneno yake BIBLIA, anajitungia mambo yake na kuamua kufanya apendavyo.
  5. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

    acha mambo yako ya kidini, vibaghashia shuleni vya nini wewe, yaani badala ya kusema chakula kiwe cha bure shuleni unaleta mambo yako ya balaghashia, KWELI AFYA YA AKILI NI DHAHIRI.
  6. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na nchi yetu mbinu anayotumia Urusi inaweza kutumika hata kwetu pia

    Naunga mkono hoja. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  7. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Kodi ya pay as you earn (PAYE)

    Hapa umejibu vema, kuna double standards sana sasa wengine wanakatwa kodi, wengine hawakatwi hii ni hatari.
  8. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Kodi ya pay as you earn (PAYE)

    Rais Samia Suluhu Hassan, alipoingia madarakani kwenye hotuba yake ya kwanza, kwenye maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi(MEI MOSI), aliahidi kwamba atahakikisha mshahara tu ndiyo utakaokatwa KODI, ili kumpunguzia mfanyakazi makali ya maisha, lakini naona hili bado halijafanyiwa kazi, kwani...
  9. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania SoC03 Akirudi mkoloni atukute na Kitambulisho cha Taifa

    safi sana, hongera hili bandiko lako liende facebook na twitter.
  10. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    kweli kabisa, lazima tubadili mindset.
  11. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Gari ukiwasha asubuhi kuzima mpaka urudie mara kumi ndiyo liwake

    Nilipata ufumbuzi tatizo lilikuwa ni Pump, nilipobadilisha gari ikawa mpya kabisa. nashukuru kwa shauri mbali mbali.
  12. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

    Kweli kabisa
  13. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Weka mzigi
  14. Se-qu-el

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kweli kabisa, unafiki umezidi.
Back
Top Bottom