Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,832
- 14,891
waruhusu jezi za ccm kutumika rasmi uvccm kwa wanachama wao na vyombo vya dole la kati
Hayo unayoongea una ushahidi nayo.Acha Ukhafiri huo, Muislam halisi hupenda kujulikana kwa Salamu yake, Nasaba, Utashi na hata mavazi lakini zaidi kwa Kuswali
Mimi ninachohitaji ni kuwa katika shule na vyuo vyote nchini watutengee vyumba vya kuswalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaTunaitwaga katukutumen. Nasi tuvae mavazi yetu.
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Wanaenda kusoma au kufanya ibada ????Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Ulishaona ugali unaliwa bila mboga?Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Vyote ni upumbavu tu ...stara gani wakati nyuchi zipo huru kwa yoyote sikuizi wanavaa hijabu ila kila mwanaume anaona tupu zaoHijab inaeleweka ni stara(sehemu ya vazi) kwa mwanamke. Kibagharashia kina umuhimu gani? Ifike hatua ndugu zangu katika imani tufanye mambo kwa logic.
Sioni haja ya kurasimisha hiyo kofia kichwani
Mimi ni MUISLAM.
Upuuzi tuu huu my friend, nchi za Europe hakuna kuvaa Uniform shule za Serilali kila mtu anavaa atakacho...Mtake mistake waislam hawawezi kuacha kuvaa hijab..nyinyi wanenu si hawavai mnavaa misalaba sasa kelele za nini???Maswala ya dini shuleni yasipewe kipa umbele tutakuja kugawana mbao km waislam wanaruhusiwa kuvaa hijabu na wakristo wavae magauni ya vitenge
hv Gauni Za Vitenge Ni Vazi Rasmi La Wakristo?Maana Huku Mtaani Kila Jumamosi Na Jumapili Watu Wote Magauni Ya Vitenge Vp Maria Alivaa Pia?Maswala ya dini shuleni yasipewe kipa umbele tutakuja kugawana mbao km waislam wanaruhusiwa kuvaa hijabu na wakristo wavae magauni ya vitenge
acha mambo yako ya kidini, vibaghashia shuleni vya nini wewe, yaani badala ya kusema chakula kiwe cha bure shuleni unaleta mambo yako ya balaghashia, KWELI AFYA YA AKILI NI DHAHIRI.Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Vipigwe marufuku kwenye daladala, mabasi, taxi na hata kutembea navyo mijini. au kuingia navyo Ofisi za Umma.Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Watu wa pwani wazembe sana kifikra tatizo mababu zao walipumbazwa sana na waarabu,salamu zao ni salama leko hawajui ndio chanzo cha lugha zao za asili kutoweka.Nawasifu warangi( huenda kwa vile si wabantu) wao na uislam lugha yao hajapotea.Dini hizi zimetutoa akili.
Mtu mweusi anadhani ati kibaragashia , kanzu na hijabu ni vazi la kiislam na asijue tu ule ni utamaduni wa warabu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sasa ni tabia ya mtu, uislamu unahusia tabia njema, na kujistiri ila mwanadamu anaweza fanya vile nafsi yake inamtuma, ndio maana kuna watu wanasali sana ila ni washirikina, wezi.. Huyu hakatazwi kwemda kuswali, ila anashauriwa aache uzinzi wake ili ibada iwe njema.Vyote ni upumbavu tu ...stara gani wakati nyuchi zipo huru kwa yoyote sikuizi wanavaa hijabu ila kila mwanaume anaona tupu zao
Daaah!Mwisho wa siku mtaomba waende uchi