Recent content by scola odeyo

  1. S

    Jinsi ya kudivert simu!

    Daa hebu wadae mnaojua changanken hii itasaidia weng
  2. S

    gari inauzwa bei nafuu 2.5million

    Mmmh hilo gari LA mil 2.5 duuuu!haya bwana ngoja tukutafutie mteja
  3. S

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Kwakwel Papaaa Mu7 roho yangu inakufurahia sn!tungekuwa cna viongoz wenye msimamo hivi ktj kola jambo Lenye manufaa kwa nchi Africa tungefika mbal sn aiseee daaa...hvi nin wew dictator Babu au??simamia hapo
  4. S

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Aaaaminah barikiwa sn.umeniokoa nmeipenda
  5. S

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Dhambi cyo ushoga tu rafiki.mungu ni pendo na ametupa Uhuru wa kuchagua uzma wa milele au u mauti.. Umeuliza swali la ajabu lkn naamin ni kwakuwa hujui hili.labda nikuulize pia,kwann wew mungu kakuacha unaendelea kupumua pumzi ya uhai?is it bse wee ni mwema sana au mtakatifu sn!!!!no no no!!ni...
  6. S

    Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

    Jamani a cha waiter hvyo hii field ma seat achana nayo.kazma usome Mara wa Mara na juelewa siyo kusoma km kasuku hivi hivi utakuwa kilaza.pia wanaposema mwanasheria "msomi" wanamaanisha learned ktk maana hyohyo ya lugha inayotumika kuwatambua wanasheria wazur.."learned Advocate odeyo" example etc
  7. S

    Milipuko yatikisa Zanzibar

    Pasipo maombi hakuna Taiga litakalopona!!unabii unatimia huu ni utungu tu wapendwa.tukae tayari ki iman hay a yite yamenenwa ktj biblia ni lazma yatokee
  8. S

    Mapenzi yananiumiza naombeni uzoefu wenu tafadhali

    Jamani avumilie ugonjwa unaotibika???ujue ndoa nyingi Leo zna matatzo mengi sn kwa sababu ya kukurupuka ilimradi uitwe Mrs??jaman wanawake kina dada tuamke uckubali kuwepo kwenye mahusiano yasiyo na future yenye a man na upendo!ni heri kuvunja uchumba kuliko ndoa,ukikosea vumilia makosa yako...
  9. S

    Mapenzi yananiumiza naombeni uzoefu wenu tafadhali

    Wanaume wana mengi sn laki.u never know ila kikubwa nachoona hana mapz ya dhati.yaan wa ufup he don't feel u achana naye na achana na fikra kwamba umri unaenda utaangukia pua lovely.mimi Nina 30 years lkn cna hat a pressure so long as as I know who I am!ujue men wanatuchezea akili km michezo ya...
  10. S

    Mapenzi yananiumiza naombeni uzoefu wenu tafadhali

    Laki pole sn najua unapitia wakati mgumu sn lkn jipe moyo.maisha ya mapz nin safar ndefu sn ilojaa mashaka,karaha,maudhi,dharau na raha kidogo sn km ulienaye c MTU sahih unaestahil Kuwa naye.ki kwel km facts za case yako iko hvyo huyo kaka hakupendi bali kuna anachokitaka toka kwako.mwanaume gan...
  11. S

    Ingekua Wewe Ungefanyaje?

    Daaa kumbe huwez kwenda!!!nitamridhisha kwa njia ya kuongea naye kwa CMU!!yaan atakuwa anaongea na mimi as if tuko pamoja uwanjani...lazma damu nzitoo imwagike kwa kasi!its like punyeto hivi lkn ata enjoy vilivyo.
  12. S

    Ingekua Wewe Ungefanyaje?

    Swali rahic sn.ki ukweli kama unampenda kwa dhati na hali ya mazingira inaruhusu kwenda lazma uende umpe mchakamchaka kidogo uzito upungue!binafsi siwez kumruhusu kutafiya mwingne maana ctalala!nahic akimaliza tu atapewa taarifa ya MTU kuzirai kwa wivu nilonao!akizidiwa akaaamua kutafuta pa...
Back
Top Bottom