stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
We me/ke?
Ndugu yangu kwa mtazamo wangu mimi penzi huwa tamu pale mnapokuwa wachumba kuelekea kwenye ndoa mahabati huwa yananoga mno lakini hivyo vitimbwi kama anakufanyia hajakuoa akikumiliki itakuwaje? Unaonaje ukitumia muda mwingne zaid au kuizoea hiyo tabia yake au kumbadilisha aiache ndipo muoane! Ni hayo tu