Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Ushoga ni laana......Our ancestors will be mad if we will allow such abomination......Natural Disasters are not what Scientists claim to be....We are simply being warned.....Atayesikia Asikie,Asiyesikia Poa tu.
 
Kutii mamlaka Hiyo imo kwenye Maandiko! Mamlaka kwenda kinyume na Mungu hicho ni kitu kingine! Na ujue kwamba hakuna mamlaka iliyo juu ya Mungu!

Ushoga ni kinyume na Mungu! Sasa km serikali Fulani imepitisha sheria ya kuzuia ushoga na kwa Mungu ni jambo jema!
Hapa sasa tutaingia kwenye mjadala mwingine!!
Kwani unafikiri Mungu yeye hana uwezo wa kuwafutilia mbali mashoga!?, kwanini amewaacha wa exist?
Hujui kuwa kumfunga au kumuua mwenye dhambi, unakuwa umefanya dhambi pia?(at least kwa mujibu wa ukristo)
 
Tuko pamoko mkulu......hatuwezi kuishi na wa.....se....nge,,,maofisini na mitaani,,,,,natamani na bunge letu lianzishe hii kitu na hapa ipite.......wanakera hawa waliwa makalio hawa......
Hakuna unyanyapaa chanya mkuu, unyanyapaa wa aina yeyote sio mzuri, nyie ndio mnaoua wengine eti kisa wamezini halafu na wewe unaenda kuzini kisirisiri.
 
Mjuni jitangaze kama nawe Obama. no.2
Mkuu mimi sipendi ushoga kama ambavyo sipendi dhambi yeyote ile,
Ninachopinga ni kuwaua au kuwfunga jela, kila mtu ana haki ya kuishi, hata kama ni shoga.

Mungu ana uwezo wa kuwaua mashoga wote, lakini amewaacha, sembuse we Museven tu, who are you to judge the gays!?
 
Hapa sasa tutaingia kwenye mjadala mwingine!!
Kwani unafikiri Mungu yeye hana uwezo wa kuwafutilia mbali mashoga!?, kwanini amewaacha wa exist?
Hujui kuwa kumfunga au kumuua mwenye dhambi, unakuwa umefanya dhambi pia?(at least kwa mujibu wa ukristo)

Nimesema Hapo awali Maandiko yaelekeza tuzitii mamlaka! Km mamlaka imeweka sheria za kuwahukumu mashoga, Hilo swala halihsiani kabisa na Mungu! Na ni vema Kutii mamlaka na Hiyo sheria!

Tukija ktk swala la wakristo, hukumu iko kwa Mungu mwenyewe. Wanadamu hatupaswi kuhukumiana!
 
Huyu ndie mtu pekee Afrika aliebakia mwenye msimamo..sio hawa wetu wanachekacheka tu na safari kibao..Go Mu7
 
Hapa sasa tutaingia kwenye mjadala mwingine!!
Kwani unafikiri Mungu yeye hana uwezo wa kuwafutilia mbali mashoga!?, kwanini amewaacha wa exist?
Hujui kuwa kumfunga au kumuua mwenye dhambi, unakuwa umefanya dhambi pia?(at least kwa mujibu wa ukristo)

Dhambi cyo ushoga tu rafiki.mungu ni pendo na ametupa Uhuru wa kuchagua uzma wa milele au u mauti.. Umeuliza swali la ajabu lkn naamin ni kwakuwa hujui hili.labda nikuulize pia,kwann wew mungu kakuacha unaendelea kupumua pumzi ya uhai?is it bse wee ni mwema sana au mtakatifu sn!!!!no no no!!ni kwa neema tu tuna is hi rafiki!
 
Aaaaaargh hii nini sasa tena,si angeanza na shetani sasa kwa mantiki yako????!!!!
Unapoanza theological reasoning in a post modern life hueleweki kabisaaaaaa????!!!
Logic and reasoning ndio inatupa mijadala na jinsi ya kuamua mambo mkuu!!!!!

Kufunga na kuua ni dhambi; ila hawa unaowatetea ndio hawafanyi dhambi???
Hiyo dhambi ya kuwafunga naomba kuishiriki; wewe shiriki ya kugeuzana mkuu!!!
 
Scola umeandika kitu ambacho mimi nimekisema mara nyingi, dhambi sio ushoga tu, Mungu akiamua kuwaondoa wenye dhambi, Museven hachomoki. Ila Mungu hafanyi hivyo anatuacha ili kupata muda wa kujisahihisha na kutubu. Kwa nini sisi tuwahukumu kwenda jela wenye dhambi?
 
Aaaaminah barikiwa sn.umeniokoa nmeipenda
 
Ndiyo maana nikamtahadhalisha Ntuzu, tutaingia kwenye mijadala mingine, Mungu anauwezo wa kufanya atakalo, kwa nini kawaacha wenye dhambi wanadunda tu mitaani!?, halafu unapozungumzia ushoga, hiyo moral misconduct tu, haimuathili third party, kwanini usimfunge maisha anayeiba mali za watu wengine kuliko huyu ambaye hachukui chochote cha mtu, haji kukuazima mwili wako wala hakulazimishi na wewe ufanye!?

Mkuu, unaposema fanya dhambi hii na mimi nifanye ile, hakuna tofauti kati yetu, we will be both cooked in the same pot.
Aaaaaargh hii nini sasa tena,si angeanza na shetani sasa kwa mantiki yako????!!!!
Unapoanza theological reasoning in a post modern life hueleweki kabisaaaaaa????!!!
Logic and reasoning ndio inatupa mijadala na jinsi ya kuamua mambo mkuu!!!!!

Kufunga na kuua ni dhambi; ila hawa unaowatetea ndio hawafanyi dhambi???
Hiyo dhambi ya kuwafunga naomba kuishiriki; wewe shiriki ya kugeuzana mkuu!!!
 
Nimesema Hapo awali Maandiko yaelekeza tuzitii mamlaka! Km mamlaka imeweka sheria za kuwahukumu mashoga, Hilo swala halihsiani kabisa na Mungu! Na ni vema Kutii mamlaka na Hiyo sheria!

Tukija ktk swala la wakristo, hukumu iko kwa Mungu mwenyewe. Wanadamu hatupaswi kuhukumiana!
Unaanza kujicontradict. Unaunga mkono wanadamu kuhukumia(alichokifanya Museven) hapohapo unasema hukumu ni juu ya Mungu na wanadamu hatupaswi kuhukumiana, which is which?
 
Aaaaaargh hii nini sasa tena,si angeanza na shetani sasa kwa mantiki yako????!!!!
Unapoanza theological reasoning in a post modern life hueleweki kabisaaaaaa????!!!
Logic and reasoning ndio inatupa mijadala na jinsi ya kuamua mambo mkuu!!!!!

Kufunga na kuua ni dhambi; ila hawa unaowatetea ndio hawafanyi dhambi???
Hiyo dhambi ya kuwafunga naomba kuishiriki; wewe shiriki ya kugeuzana mkuu!!!

Ata Mimi nashiriki ya kuwafunga maisha!
 
Kwakwel Papaaa Mu7 roho yangu inakufurahia sn!tungekuwa cna viongoz wenye msimamo hivi ktj kola jambo Lenye manufaa kwa nchi Africa tungefika mbal sn aiseee daaa...hvi nin wew dictator Babu au??simamia hapo
 
Ndiyo maana nikamtahadhalisha Ntuzu, tutaingia kwenye mijadala mingine, Mungu anauwezo wa kufanya atakalo, kwa nini kawaacha wenye dhambi wanadunda tu mitaani!?, halafu unapozungumzia ushoga, hiyo moral misconduct tu, haimuathili third party, kwanini usimfunge maisha anayeiba mali za watu wengine kuliko huyu ambaye hachukui chochote cha mtu, haji kukuazima mwili wako wala hakulazimishi na wewe ufanye!?

Mkuu, unaposema fanya dhambi hii na mimi nifanye ile, hakuna tofauti kati yetu, we will be both cooked in the same pot.

Ulitaka mwenyewe kupata Mawazo ya kikristo! Ukizani kwamba Labda huku Hawa Watu wameachwa tu!
 
Ata Mimi nashiriki ya kuwafunga maisha!
Are you a christian?, umesema wakristo hukumu tunamuachia Mungu na hatupaswi kumuhukumu binadamu mwenzetu, hapa tena unasema utashiriki kuhumu watu!!, it seems you are very contraversial.
 
Unaanza kujicontradict. Unaunga mkono wanadamu kuhukumia(alichokifanya Museven) hapohapo unasema hukumu ni juu ya Mungu na wanadamu hatupaswi kuhukumiana, which is which?

Mkuu Wewe ndio unaejichanganya na majibu yng!

Nimezungumzia serikali km serikali Na Maandiko yanasemaje juu ya kuzitii serikali! Na nikasema km serikali imepetisha Hiyo sheria ni sawa!

Na Nimezungumzia ukristo km Imani, na nikasema ktk ukristo km Imani hukumu iko kwa Mungu tu! Wanadamu hatupaswi kuhukumiana!

Sasa Hapo najichanganya vp? Au nikuandikie kisukuma ndugu yng ndio utanielewa?
 
Ndiyo maana nikamtahadhalisha Ntuzu, tutaingia kwenye mijadala mingine, Mungu anauwezo wa kufanya atakalo, kwa nini kawaacha wenye dhambi wanadunda tu mitaani!?, halafu unapozungumzia ushoga, hiyo moral misconduct tu, haimuathili third party, kwanini usimfunge maisha anayeiba mali za watu wengine kuliko huyu ambaye hachukui chochote cha mtu, haji kukuazima mwili wako wala hakulazimishi na wewe ufanye!?

Mkuu, unaposema fanya dhambi hii na mimi nifanye ile, hakuna tofauti kati yetu, we will be both cooked in the same pot.

Saafi sana saasa unaelewa kumbe moral misconduct na consesus/convention ya wengi imeamua kuweka adhabu ili iwe fundisho kwa wengine sasa unatakaje tena????!!!!

Mwivi akiiba tairi ya gari utaweka spare au kununua jipya,mwanao wa kiume akiingizwa kwenye hilo kundi unazaa mwingine au unafanya nini???!!!

Ndio maana kizazi hicho ni jela tu mpaka wakome kabisa na huko iwe one cell one man,chained and totally grounded!!!!!!

Ndio kama ni kuchagua route ya kuingia huko motoni juu ya hili mimi uoande wangu ndio huo mkuu; we huridhiki na upande uliopo???!!!!
 
Are you a christian?, umesema wakristo hukumu tunamuachia Mungu na hatupaswi kumuhukumu binadamu mwenzetu, hapa tena unasema utashiriki kuhumu watu!!, it seems you are very contraversial.

Teh Teh Teh!

Haya ni maoni Mkuu! Wataka Niambie unavyowatetea Mimi nikueleweje?
 
Back
Top Bottom