Ukutaka iyo njoo Tanga au Zanzibar af ujitie kutania watoto wakike utaoa af uzingue [emoji23][emoji23][emoji23].. Utani wa bara muache uko uko utaozeshwa bila kupenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema neno mkuu... Serikali inatimiza wajibu wake kwa kukata kodi na izo izo kodi ndo zinaendesha miradi yetu na kama mtu anahatia lazima sheria ifanye kazi na wale wenye kudai naamini ipo siku Mungu atasikia kilio chao na watalipwa tu
Nashukur sana ndugu....
Tutalifanyia kazi asa fursa kama izi ..nimejifunza kuwa ba kauli nzuri kwa mteja
Mi nna 500000 sina business idea yyte ..je waweza nisaidia mi nipo dar ifm
Happy escape womb day [emoji173][emoji7][emoji173]
Ishi maisha marefu ...
Allah akupe hitaji la moyo wako na akufanye mama bora na mke bora na akupe busara na hekima katika mambo yako.
Pia, nakuombea akuepushe na hasada
Kumbuka; Umri wasogea na kifo kinasogea kwaiyo furahia huku ukizidishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.