Recent content by Schuller

  1. Schuller

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje dereva anapofika kwenye zebra crossing?

    Ni tanzania pekee ambapo mtembea kwa miguu anasubiri zaid ya dakika 5 gari zipite kwenye zebra!!!!!!!!!
  2. Schuller

    JamiiForums Tanzania Je, wewe una phobia (uoga)?

    Kwel akili unazo!!!!
  3. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

    Asee na matukio ya wazee kuwakaza watot wao itakua kazi kwel kwel
  4. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

    Ok vipi kwa mtot wakike itakuaje napo
  5. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliosema bikira zimeisha njooni huku niwaambie

    Nakapicha kake ukapost ti! ti! ti!
  6. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

    Bora utapeliwe PESA tu itatosha lakin hayo mengine hayatokuacha salam
  7. Schuller

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu msaada kubet m-bet kupitia tigo napiga Namba gani (Kama ilivyo voda *149*19#)
  8. Schuller

    JamiiForums Tanzania Msaada: LG-G2 (801D) inasumbua bluetooth na wifi

    Habari zenu wakuu Nina simu tajwa hapo juu (LG-G2. 801D inazingua kufungua Bluetooth na wifi. Yani ukifungua wi-fi inakua ON for not more than 2sec, kwaupande wa Bluetooth doesn't switch on at all. Any help wakuu!!
  9. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu anasaidiwa kweupeee....!!

    miguno flani iviii amazing hakuna?!!! Dah!! ametuoshea tu huy
  10. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies tafadhali mtuvumilie mpaka tumalize

    unamaanisha we niwakuzimu eeeh!! au dar sio mkoa????!
  11. Schuller

    JamiiForums Tanzania Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

    Kwa upande wangu; Baba naomba unisamehe, nikiwa na kaumri ka miaka 20 nilishawai kusema mh! Wetu unapenda kucheka hovyo hadi kwenye misiba KUMBE KUCHEKA NA TABASAMU KULIKUA KWA UPONYAJI ....NISAMEHE MH KIKWETE HAKIKA NIMEKUMISS
  12. Schuller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni mniombee, vibinti vinaniambia 'unahitaji huduma'

    Huu mtihan wa darasa la saba inabidi usaishwe haraka watoto warudi shulen maan wanajazana hapa mjin selfie kila wakat
  13. Schuller

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

    Acha kupiga masterB ndomana mnakua na mikono laini mpaka mnaogopa kusalimiana kwa mikono. Eti ooh! Utanashati lol!
  14. Schuller

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu ila bado nazithibitisha zinasema kwamba.......

    wacha tusubir mkuu
  15. Schuller

    JamiiForums Tanzania Kama dunia duara na inazunguka tunapataje mashariki na magharibi kwenye ramani?

    Usingizi mkuu
Back
Top Bottom