Huu uchizi.
Sasa mwenzio kasema anaumia we kwanini uendelee kumuumiza?
Kuna ujinga kwa baadhi ya wanaume (sijui wavulana) wanadhani mwanamke akiumia ndio wanajua sex.
What we need ni kuwafanya waenjoy sex na sio to inflict pain.
Mwanamke anapoinama (coming from behind, mbuzi kagoma) hasa akiweka kifua chini urefu wa vagina unapungua sana, na uterus (mji wa idadi) inasogea zaidi Kuja karibu kabisa na opening, yenyewe ni very sensitive to pain. Lakini pili, ukipump tokea nyuma pia huwa unaingiza hewa ndani na kusababisha maumivu na hivyo anaumia mara 2; so Unacholeta hapo ni maumivu Kweli na sio milio ya raha.
Jifunze sex na sio huo unyama unaowafanyia wadada wa watu