Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

Huyu mkuu wa sasa ananyoosha nchi kwanza. Si ameshainyoosha tayari? Hamkumbuki kwamba (kama alivyosema jana) alipoingia madarakani bei ya sukari ilikuwa elfu tano lakini sasa imeshuka?
 
Kwa upande wangu;
Baba naomba unisamehe, nikiwa na kaumri ka miaka 20 nilishawai kusema mh! Wetu unapenda kucheka hovyo hadi kwenye misiba KUMBE KUCHEKA NA TABASAMU KULIKUA KWA UPONYAJI
....NISAMEHE MH KIKWETE HAKIKA NIMEKUMISS
 
Attachments

  • FB_IMG_1505757227280.jpg
    FB_IMG_1505757227280.jpg
    55.2 KB · Views: 36
Kwa upande wangu;
Baba naomba unisamehe, nikiwa na kaumri ka miaka 20 nilishawai kusema mh! Wetu unapenda kucheka hovyo hadi kwenye misiba KUMBE KUCHEKA NA TABASAMU KULIKUA KWA UPONYAJI
....NISAMEHE MH KIKWETE HAKIKA NIMEKUMISS
Kashakusamehe!!!Ila umenichekesha sana

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Habari wanabodi,

Baada ya kutafakari yanayoendelea kwenye nchi yetu Tanzania nimeona ni vema nikusalimu RAIS wetu mstaafu JMK.

Kwanza kabisa shikamoo MHESHIMIWA, naamini unaendelea Vema na Majukumu yako ya kila Siku na ninamuomba mwenyezi Mungu Azidi kukubariki.

Pia baba mie mtanzania wako ulieniongoza kwa miaka 10 nimeona nikushukuru kwa kuniongoza kwa kipindi chote hicho..

Mkuu katika uongozi wako yapo mambo mengi niliyoyafaidi,ila ntataja machache niliyoyamiss kwa sana:

Kwanza:uhuru wa kuongea na nikawa salama-mkuu kwenye utawala wako ulitupa nafasi ya kuwa na uhuru wa kuongea na kusema chochote na hii ilifanya watu kuongeza kiwango cha udadisi kwa watanzania wengi-hata kama tuliongea tukapitilza mipaka ulituchukulia Poa na kuendelea na Majukumu yako.

Pili😀emocracy:Baba ulituacha tupambane na kila mikakati yetu ya kukuza democrasia nchini,vyama pinzani vilitekeleza operation zake bila kuzuilika na mikutano mbalimbali, Pamoja ya kuwa kuna mengine ulizuia lakini si haba mambo yalikwenda.

Tatu:Baba nakumbuka uwezo wako wa kuhutubia,ulipanga hoja zilizonyooka na zisizo na jazba..hata kama kuna sehemu hukutekeleza Ila ulituaminisha kwa maneno ya staha..ndio maana tulipenda hotuba zako za Kila mwisho wa Mwezi.

Nne:Baba katika utawala wako ulitufundisha ukitaka kula nawe ukubali kuliwa😛amoja na kuwa wapo waliotumia vibaya Kauli hii binafsi niliamini kama nataka kupokea lazima nijifunze kutoa...na kwa hakika kila biashara niliyowekeza ilinilipa vizuri-kwa hili nitakukumbuka..

Tano:Baba tabasamu ni tiba:kila ulipoongea nasi ulituonyesha tabasamu lenye upendo kwa watanzania, hata kama tumekusema vibaya Bado ulionyesha tabasamu,kitaalamu ulituponya kisaikolojia Kwan tabasamu ulilokua Unatoalilituponya.. Hitaji la kwanza la Kila mwanadamu ni kupendwa!!tabasamu lako lilileta raha hata usimamapo kuhutubia.

Mkuu ulinifurahisha Sana usimamapo kuhutubia nchi mbalimbali duniani kwa kujenga hoja na kiingereza kilichonyooka kwa ajili ya kuinadi Tz duniani kote, na hii iliongeza utalii kukua Tz

Baba pamoja na mapungufu yako Mie binafsi naamini hakuna aliyekamilika Ila kwa haya nitakukumbuka..

Wakuu najua wapo wapondaji na wakosoaji, salamu hizi kwa JK si za kumponda ni za kumshukuru kwa yale mazuri aliyofanya na Sio mabaya,kama nawe kuna zuri ulikumbukalo basi changia..

Mh JK pokea salamu na shukrani zangu.

Kinga Kingdom

Uhuru wa kuongea mlitafsiri kwa matusi na kumuita dhaifu ! Mbunge wa Cuf kule Tanga aliwahi kushikwa na kuwekwa ndani kwa madai Rais kakalia kucheka cheka tu !
Mkaomba duwa mpate Rais mbabe mbabe na Dikteta.
Sasa m'mepata Dicteta Uchwara, mnalialia, subirini full dicteta kama hamtakunya wima nyinyi !
 
Habari wanabodi,

Baada ya kutafakari yanayoendelea kwenye nchi yetu Tanzania nimeona ni vema nikusalimu RAIS wetu mstaafu JMK.

Kwanza kabisa shikamoo MHESHIMIWA, naamini unaendelea Vema na Majukumu yako ya kila Siku na ninamuomba mwenyezi Mungu Azidi kukubariki.

Pia baba mie mtanzania wako ulieniongoza kwa miaka 10 nimeona nikushukuru kwa kuniongoza kwa kipindi chote hicho..

Mkuu katika uongozi wako yapo mambo mengi niliyoyafaidi,ila ntataja machache niliyoyamiss kwa sana:

Kwanza:uhuru wa kuongea na nikawa salama-mkuu kwenye utawala wako ulitupa nafasi ya kuwa na uhuru wa kuongea na kusema chochote na hii ilifanya watu kuongeza kiwango cha udadisi kwa watanzania wengi-hata kama tuliongea tukapitilza mipaka ulituchukulia Poa na kuendelea na Majukumu yako.

Pili😀emocracy:Baba ulituacha tupambane na kila mikakati yetu ya kukuza democrasia nchini,vyama pinzani vilitekeleza operation zake bila kuzuilika na mikutano mbalimbali, Pamoja ya kuwa kuna mengine ulizuia lakini si haba mambo yalikwenda.

Tatu:Baba nakumbuka uwezo wako wa kuhutubia,ulipanga hoja zilizonyooka na zisizo na jazba..hata kama kuna sehemu hukutekeleza Ila ulituaminisha kwa maneno ya staha..ndio maana tulipenda hotuba zako za Kila mwisho wa Mwezi.

Nne:Baba katika utawala wako ulitufundisha ukitaka kula nawe ukubali kuliwa😛amoja na kuwa wapo waliotumia vibaya Kauli hii binafsi niliamini kama nataka kupokea lazima nijifunze kutoa...na kwa hakika kila biashara niliyowekeza ilinilipa vizuri-kwa hili nitakukumbuka..

Tano:Baba tabasamu ni tiba:kila ulipoongea nasi ulituonyesha tabasamu lenye upendo kwa watanzania, hata kama tumekusema vibaya Bado ulionyesha tabasamu,kitaalamu ulituponya kisaikolojia Kwan tabasamu ulilokua Unatoalilituponya.. Hitaji la kwanza la Kila mwanadamu ni kupendwa!!tabasamu lako lilileta raha hata usimamapo kuhutubia.

Mkuu ulinifurahisha Sana usimamapo kuhutubia nchi mbalimbali duniani kwa kujenga hoja na kiingereza kilichonyooka kwa ajili ya kuinadi Tz duniani kote, na hii iliongeza utalii kukua Tz

Baba pamoja na mapungufu yako Mie binafsi naamini hakuna aliyekamilika Ila kwa haya nitakukumbuka..

Wakuu najua wapo wapondaji na wakosoaji, salamu hizi kwa JK si za kumponda ni za kumshukuru kwa yale mazuri aliyofanya na Sio mabaya,kama nawe kuna zuri ulikumbukalo basi changia..

Mh JK pokea salamu na shukrani zangu.

Kinga Kingdom

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app

Kikwete ni Muislamu anaruhusiwa kuoa mpaka Wanawake 4!
 
Live long JK
Mhhh hata ninyi?! Mimi JK namchukia kwa maamuzi yake ya dk za mwisho mwisho, alipoamua kuivuruga tume (NEC) ya uchaguzi, kwa kuwaondoa makamishina wa kweli, na kuwaleta wataalam wa IT wa vyombo vya dola na kisha kuangukia Chato.

Bahati mbaya viongozi wetu wanafikiri, kwa kuwa wanatuamulia ktk mambo ya uongozi ki taifa na kimataifa, wanadhani hata ktk uchaguzi lazima watuamulie, hili ni kosa watuache tuchague!!
 
MIE KILA WIKI NILIKUWA NAUHAKIKA WAKUPATA LAKI 6 KUTOKANA NA VIAKO MBALIMBALI VYA MPANGO HAPA OFISINI. LICHA YA MCHAHARA WA SH LAKI 8 LAKINI MAMBO YALIENDA ILA SASA HAPANA.PIA SAFARI ZILITUTOA SANA HATA WATU WA KATI KWANI KWENDA KUKAGUA MIOANI NA KURUDI ANGALU NILIKUWA NA UHAKIKA WAKUPATA ZIADA YA MILLION 2 KWA MWEZI.jk ULITUSAIDIA SANA HATA KAMA TULIKUWA TUNAIBA ILA TULICHANGAMSHA UCHUMI
6.Watumishi kila mwaka walikuwa wanapata nyongeza ya mshahara
 
Back
Top Bottom