Recent content by schege

  1. schege

    Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Uko sawa, Hili si mara ya kwanza kujitokeza katika uongozi wa JPM.Nakumbuka pia ilishawahi kumtokea Mh.Eng.Stella Manyanya,lakini mh Rais alimvumilia hadi akamaliza kiapo chake. Mimi sina shaka kabisa na mh.Ndulane najua Jpm na wasaidizi wake walimchunguza kwa kina kabla na kumuona...
  2. schege

    Umoja wa Mataifa(UN) watangaza nafasi lukuki za kazi kwa Tanzania

    Wakuu nimekolea nafasi ya udereva ila sijajua barua naituma kwa anuani ipi.msada wadau wadau,huenda ikawa.
  3. schege

    Sanchezi atachemsha Manchester UTD

    Mashabiki wa Arsenal hamuwezi kuipenda Man u kamwe kwani zile goli nane bado zinawatesa rohoni.
  4. schege

    Sanchezi atachemsha Manchester UTD

    Huyo ni mmoja kati ya wanazi wa Arsenal wanaoweweseka kuondoka kwa Sanchez
  5. schege

    Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

    Sipati picha jamaa akimmimba
  6. schege

    Makamba chunga sana, hili la viroba linakuondoa kwenye uwaziri maana umekurupuka sana

    Haswaaa na cha kushangaza hawajaweka bayana kuwa wale waliobaki navyo wavipeleke wp! matokeo yake wanajichukulia ujiko kuwa wamevikamata!
  7. schege

    Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

    Sasa we utani na Arsenal
  8. schege

    Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

    Sasa we utani na Arsenal
  9. schege

    Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

    Haya mkuu nimekukubali uko juu!
  10. schege

    Simulizi ya kweli kuhusu Gamboshi

    Story nzuri sn na inavutia ila jipange isiwe fupi sana kama hii part 2.
  11. schege

    Wana JF, hivi huyu Mzee Datsun Tido Mhando anjitambua?

    Mimi hata siielewi tu hii post,naona full machanganya!
  12. schege

    Usipoteua mwanamke safari hii tunaandamana!

    Mliambiawa mtaisoma namba.
Back
Top Bottom