Wana JF, hivi huyu Mzee Datsun Tido Mhando anjitambua?

SEGUZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
280
196
wadau kwenye mkutano wa wanahabari na rais, wakati rais anaedelea kujibu Maswali alio yaulizo Pascal Mayala, Tido Mhando akaanza kumwiitaita rais(siku alikua anataka amwambie nini) mwisho kamkatisha rais, hakumaLiza kujibu.
na hii sio Mara yake ya kwanza kufanya hivyo.
Uchaguzi mkuu 2010, ufunguzi wa kampeni za CHADEMA wakati Mzee Mabere Marando akihutubia, na yeye akiwa mkurugenzi wa TBC, aliwahi kukata matangazo LIVE hapo mkutano ni kwa sababu anazozijua yeye,je huyu Mzee Tido, kwa haya anayo ya fanya anajitambua?
 

Attachments

  • TMPDOODLE1478316869163.jpg
    TMPDOODLE1478316869163.jpg
    44.4 KB · Views: 71
  • TMPDOODLE1478319451134.jpg
    TMPDOODLE1478319451134.jpg
    44.4 KB · Views: 60
wadau kwenye mkutano wa wanahabari na rais, wakati rais anaedelea kujibu Maswali alio yaulizo Pascal Mayala, Tido Mhando akaanza kumwiitaita rais(siku alikua anataka amwambie nini) mwisho kamkatisha rais, hakuja Liza kujibu.
na hii sio Mara yake ya kwanza kufanya hivyo.
Uchaguzi mkuu 2000, ufunguzi wa kampeni za CHADEMA wakati Mzee Mabere Marando akihutubia, na yeye akiwa mkurugenzi wa TBC, aliwahi kukaa matangazo LIVE hapo mkutano ni kwa sababu anazozijua yeye,je huyu Mzee Tido, kwa haya anayo ya fanya anajitambua?

Mwaka 2000 Tido alikua BBC,inaonyesha hujui vitu vingi sana na una kiherere km mndengereko wa rufiji...
 
Wewe ndo hujielewi kabsaa,sijui
umevimbiwa viazi na ulanzi unajamba ushuzi wako hapa jf
 
Binafsi naona tido alifanya vizuri kulinganisha na rioba kama muongozaji mwenzake. Tido aliuliza imani raisi aliyonayo kwa wasaidizi hasa baraza la mawaziri, ikumbukwe imekua ikisemekana wasaidizi kuogopa au kutosikilizwa pale wanapokuwa wakitoa ushauri wa kitaalamu kwa mh.
Aliuliza pia kuhusu katiba mpya lilikuwa nalo ni muhimu.
Tena aliongezea kwenye swali la Sami wa BBC alilohoji mh kuiminya democracy kwa jina la maendeleo hapa Tedo aliuliza mh anasemaje kwa jamii inayomwona akiwa na tabia za kidtekta
 
Mkulu alikuwa kashajidharilisha,na Tido aligundua hilo nakuona anajibu uji..nga,kwahiyo hapakuwa na maana yajuendelea kujibu.

Big up brother Pasco wewe ndio mwandishi na hakika msukuma mwenzio hatakusahau,na atakutafutia kazi ikulu.
Mkuu Pasco kesha jiapisha hatoajiliwa tena maishani mwake... Keshatumika vya kutosha...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom