Recent content by Sbr

  1. S

    Watanzania tufunge mkanda, kipindi kigumu zaidi kinakuja

    Huu ujinga una mwisho wake tuendeleni kuishi tu, watu wanashangilia huku wanaujua ukweli
  2. S

    GE2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

    Umeelewa lakini kilicho elezwa na NEC au unakurupuka tu kuandika
  3. S

    GE2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

    Kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo huwezi kumuelewa Tundu lazima utaishia kutukana tu
  4. S

    Baadhi ya wamama wa mjini ni zero brain. Wanawageuza binti zao kitega uchumi

    Kumbe yanawapata wengi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    natafuta kazi ya ualimu physics and mathematics

    Unasumbua watu tu, eti Mimi ni best student, mtaani hakuna cha best student au best pupil mwendo ni kupambana , hizi ni swaga za kishamba kabisa sijapata kuona
  6. S

    Mauaji yaliyojaa utata

    Madame unazingua fanya kweli bhana! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Boeing 737 Max: Kampuni inayotengeneza ndege hizo imesitisha matumizi ya ndege za 737 Max 8 na 9

    Bangi haijawahi kumuacha mtu salama Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    PAROKO KIRUMBA MWANZA KANISIKITISHA.

    Chizi kumubatiza chizi mwenzake unadhani nini kitatokea Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Msanii nik Wa pili abagua walemavu wazi wazi.

    Wewe ndo hujamuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Tulio na madigrii tunaaibishwa sana na failures aisee! Nini maoni yako?

    Uwezo wa Msukuma umeishia hapo lakini sio kosa lake kinachomsumbua ni yeye kuwa na darasa la saba so anaumia kukosa degree si aende shule !!
  11. S

    Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM) ahoji Bibi kuvaa wigi kwenye Nembo ya Taifa

    Huyu jamaa sidhani kama hata macho yake huwa yanaona!!, yule mwanamke ana wigi au kilemba nina wasi wasi kama kweli ana shule kichwani !
  12. S

    Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Tatizo watanzania wengi shule kichwani hamna mtu anaongea point then jamaa wanabeza!!
  13. S

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Huwa anaongea kwa sababu anaongea!!
  14. S

    Je, Kusoma combination ya PCM ni sawa na kujichosha?

    Sio kweli, utasomaje PCM halafu ulale njaa huo ni uzembe wa kufikiri wala sio ajira!!
Back
Top Bottom