Recent content by Sayidaas

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Tumia binance mkuu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Nunua Ethereum mkuu mpaka December hela yako itakuwa mara mbili
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

    Aanzishe ratiba ya mfungo mlo ni mmoja tu kwa siku tena usiku halafu sio wa kushiba.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Safari ya Gavin Luca

    Leo umetufikia watu wa moshi bar 😄
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simu yenye kamera nzuri kwa bajeti ya laki4 hadi 5

    Chukua iPhone 11 plain bei 450k hutajuta
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

    🔥
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Hata pale babayake amemwambia akalete simu ili ampigie afande kumuuliza kama aliangalia CCTV nazan ni code alipewa ussi ili katoe tape ta CCTV maana alichelewa sana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka tuwaokoe hawa watoto kabla ya kutokea maafa

    Sasa hapo kuna reli njia ni kuzunguka majumba sita nazan wameona uvivu tu wakatafuta short cut muhimu hiyo njia izuiliwe kutumika maana watu wanaona uvivu kuzunguka
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza VW Touareg V6

    Sana mkuu sema bado najitekenya siku nikicheka tuu naruka nayo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza VW Touareg V6

    Hivi pale CFAO zinaweza kuwa na bei gani
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

    Nenda NHIF pia huduma ya kujifungua inatolewa mwaka wa pili wa uchangiaji kama sijakosea
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri namna sahihi au njia sahihi ya kumsaidia ndugu yangu huyu

    Ajifunze kutengeneza pikipiki na bajaji, akihitimu mfungulie duka la spare za hiyo fani.
Back
Top Bottom