FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,232
- 4,388
- Thread starter
- #221
Mechi moja safi sana inaenda kupigwaduuh.! noma sana kwahiyo jamani gavin ndio anakufa hivyo..natamani Lionela atokee hapo
Mechi moja safi sana inaenda kupigwaduuh.! noma sana kwahiyo jamani gavin ndio anakufa hivyo..natamani Lionela atokee hapo
🤣🤣🤣🤣 Mkuu unacheza na kitu kinaitwa kufa? 😁😂😂 daah huyo mtoto aliyeruka ukuta akiwa naked na bado akaliunga amejua kunichekesha
😂😂 Akaona cyo kwelii speed 120 🙌🤣🤣🤣🤣 Mkuu unacheza na kitu kinaitwa kufa? 😁
😂😂😂😂😂😂 Akaona cyo kwelii speed 120 🙌
Sema unajua sana mkubwa respect😂😂😂😂
Shukrani sana mkuu...Sema unajua sana mkubwa respect
Shukrani sana bosi wangu 👏Kazi nzuri🙏🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥Shukrani sana mkuu...
Acha tumalizane na hii Kisha tumalizie sehemu yake ya tatu ambayo ndiyo ina hatima ya maisha ya hiyo familia.
THE DARKNESS OF AN ANGEL -SIKU ZA MWISHO
Maana ndani ya familia kuna kiumbe kipya kilianza kuwatafuna... Wakati wanashtuka walikuwa wamechelewa sana 🔥
Hii collection imeshiba sana mkuu 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Leo umetufikia watu wa moshi bar 😄Mechi moja safi sana inaenda kupigwa
Ndo chimbo lako nini mkuu? 😁Leo umetufikia watu wa moshi bar 😄
Aisee tunaelekea mwishoni wa sehemu hii ya pili mpaka sasa hatujamjua anayeitafuna familia si mchezo. Natamani kuuona huo mtifuano wa Gavin na huyo kubwa lao maana kila mapambano ya humu ndani nasoma huku nikitengeneza picha kichwani watu wakitolewa makolomeo na kuzamishwa upanga kwenye macho na anavyowapiga risasi viongozi mpaka kichwa hakitamaniki. Mbaya zaidi Gavin anakuchana kabisa kabla ya kukuua na taarifa mwenyewe unampatia😂😂Shukrani sana mkuu...
Acha tumalizane na hii Kisha tumalizie sehemu yake ya tatu ambayo ndiyo ina hatima ya maisha ya hiyo familia.
THE DARKNESS OF AN ANGEL -SIKU ZA MWISHO
Maana ndani ya familia kuna kiumbe kipya kilianza kuwatafuna... Wakati wanashtuka walikuwa wamechelewa sana 🔥
Hii collection imeshiba sana mkuu 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
😅 Naweza kukuguarantee kwamba mpaka unamaliza huyo mtu hautamjua ni nani mpaka usome andiko lingine ndipo utaweza kuanza kupata majibu....Aisee tunaelekea mwishoni wa sehemu hii ya pili mpaka sasa hatujamjua anayeitafuna familia si mchezo. Natamani kuuona huo mtifuano wa Gavin na huyo kubwa lao maana kila mapambano ya humu ndani nasoma huku nikitengeneza picha kichwani watu wakitolewa makolomeo na kuzamishwa upanga kwenye macho na anavyowapiga risasi viongozi mpaka kichwa hakitamaniki. Mbaya zaidi Gavin anakuchana kabisa kabla ya kukuua na taarifa mwenyewe unampatia😂😂
Lini unaweka mwendelezo mkuu? Ingefaa leo tumalizie week end kabla ya kesho kuingia kwenye majukumu tukiwawaza hawa malejendari. Ombi lakini🙏😅 Naweza kukuguarantee kwamba mpaka unamaliza huyo mtu hautamjua ni nani mpaka usome andiko lingine ndipo utaweza kuanza kupata majibu....
Kuhusu Gavin alikuwa mbaya sana kwenye hizo anga za ukatili ila mtoto wake alikuja kuwa nuksi zaidi ya baba yake.....
Hilo pambano wanaume walipimana mifupa haswa 🔥 🔥 🔥 🔥
Ratiba ni kesho, kama ni leo labda niweke hiyo episode ya hao wajuba wakipimana mabavuLini unaweka mwendelezo mkuu? Ingefaa leo tumalizie week end kabla ya kesho kuingia kwenye majukumu tukiwawaza hawa malejendari. Ombi lakini🙏
Shukrani sana kwa appreciation mkuu 👏Moja kati ya waandishi hodari sana kwenye hizi anga za simulizi za kajasusi 🚀🚀🚀
Hakuna namna mkuu wacha tusibirie tu. Ila siupatii picha huo mtanange maana wote wanajua kutamba. Gavin anakwambia "Hajaona mtu wa kumuua kwenye dunia hii, hajazaliwa bado" na jamaa nae anamwambia Gavin kuwa "Usiku huu nakuua kifo cha mateso makali kabla sijaiangamiza familia yako"😆😆Ratiba ni kesho, kama ni leo labda niweke hiyo episode ya hao wajuba wakipimana mabavu