Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nataka kuagiza VW Touareg V6

Chukua Kitu Roho Inapenda Mkuu
FB_IMG_17429440055252050.jpg
 
Nafikiri ungeagiza kutoka Ulaya
Hapa angalia hizi mbili ingawa hujasema model ipi na je petrol au diesel?

2011 ni diesel na bei ni 16m kwa hapa nilipo
2007 Petrol bei 13.5m ya bongo
Bado usafiri na ushuru huko
Changamka sasa au unataka la miaka ya hivi karibuni? Lakini bei lazima uongeze
Screenshot_20250328_091857_Auto Trader~2.png
Screenshot_20250328_091717_Auto Trader~2.png
 
Back
Top Bottom