Recent content by sawe6

  1. sawe6

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS

    Mkuu now kwa hapa tanzania Kuna bidhaa za tronic aina mbili kuna bidha za tronic kutoka Kenya na zimeandkiwa kabisa FOR SALE IN UGANDA AND KENYA ONLY. hizo ndo Zina kasoro hizo ulizo zizungumzia. na zinauzwa kwa Siri kweli kweli .
  2. sawe6

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Star TV kuondoka king’amuzi cha Azam?

    unatumia king'amuzi gani ? maana. yeye amesema chaneli imeondolewa azam.
  3. sawe6

    JamiiForums Tanzania Hawa Speedaf wa mizigo ya China wapo haraka Posta hamna kitu

    Mimi ni shahidi wa Hilo jamaa wapo vizuri.
  4. sawe6

    JamiiForums Tanzania Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    itakuwa ni tamaa. ya. Hela. tu
  5. sawe6

    JamiiForums Tanzania Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    Hela hizi.
  6. sawe6

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanahabari mkongwe, Dkt. Gideon Shoo afariki dunia

    R I P .Dkt Gedion Juma Seif Shoo
  7. sawe6

    JamiiForums Tanzania Waliohusika na mauaji ya watu 17 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mkuu umesusaa
  8. sawe6

    JamiiForums Tanzania Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Apumzike kwa amani ameteseka sana kwa muda mrefu!
  9. sawe6

    JamiiForums Tanzania Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

    Kwani simba ni nchi
  10. sawe6

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema wewe sio wa kuomba kuchangiwa hela ya kampeni

    Kwani amekuambia ni lazima wewe umchangie ? Kama huna hela tulia wenye hela watamchangia.
  11. sawe6

    JamiiForums Tanzania Nimeomba huduma Tanesco na hili ndio jibu nililopewa

    Moja ya jambo linalokera nihili la kuambiwa njoo mwenyewe. Yani huwezi kumtuma hata mkeo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sawe6

    JamiiForums Tanzania Niliyemdhamini kakimbia kesi naomba ufafanuzi wa kisheria katika hili

    Ahsante kwa ushauri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. sawe6

    JamiiForums Tanzania Niliyemdhamini kakimbia kesi naomba ufafanuzi wa kisheria katika hili

    Sawa mkuu ndo ninajaribu kupambana ikishindikana. Nikaangalie kama inawezeka kujitoa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom