Recent content by savius

  1. savius

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Umetimiza wajibu wako kama katiba ya nchi inavyosema,yakitokea ndo watafukua nyuzi kama hizi na kusema "yalisemwa haya".waliojirani wamshauri huyu dogo,mabadiliko physically yanaonekana
  2. savius

    JamiiForums Tanzania Mambo ya JF na zama zake

    Naunga mkono hoja👏👏👏 maana sio kwa udambwi dambwi
  3. savius

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Director Modestus Francis Kipilimba

    Makaburi yanafukuliwa
  4. savius

    JamiiForums Tanzania Waraka mpya kwa wanaume wote

    Mkuu kwa mujibu wa mrejesho wa kikao Cha Jana hili limezingatiwa
  5. savius

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    2:29am
  6. savius

    JamiiForums Tanzania JamiiForums V.A.R

    mfilisti pita huku
  7. savius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

    Siku hizi tunanunua hatuongi mama
  8. savius

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

    Nimekuelewa vizuri,nilikuwa najiuliza tatizo ni Nini?,nimepata darasa
  9. savius

    JamiiForums Tanzania Warumi

    R I p
  10. savius

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

    [emoji848][emoji848][emoji848] ubuyu wa Ubeparini.Jf idumu
  11. savius

    JamiiForums Tanzania Kati ya Suzuki Escudo na Toyota RAV4 old model gari ipi inafaa katika mazingira magumu?

    Mkuu nakula misele ya chimbo to town bila tatizo
  12. savius

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Itumbi Chunya tunahitaji lami

    Mkuu tusubiri kwanza barabara ya kutoka Mbalizi,mkwajuni mpaka saza kwanza halafu tutaiangalia na hiyo
  13. savius

    JamiiForums Tanzania ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. savius

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

    Mkuu kasimama mbele pilato leo,Mungu mkubwa kayavurunda sana walikua wanamwangalia tu,leo kakanyaga bahati mbaya wanamrudishia makusudi
  15. savius

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

    Mkuu,Mungu mkubwa jamaa kasimama mbele ya pilato leo
Back
Top Bottom