Recent content by saudari

  1. saudari

    JamiiForums Tanzania kama anakupenda kwanini akurekodi?

    Mbuzi Kala Mkeka
  2. saudari

    JamiiForums Tanzania Holystreams wedding and events planning

    Usisahau kunipa Promota 10%.
  3. saudari

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    Ni heri kuishi na Mchawi kuliko Mnafiki BUT Prezoo alikua yupo kutekote.
  4. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mpenzi wangu ina dawa?

    Nawatakieni nyote Sikukuu Njema.
  5. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special To All JF Member's

    Habari zenu wana MMU na Jf kwa ujumla!!!!!! Ni wakati mwingine tumepewa na Mwenyezi Mungu wa kuweza kuiona siku hii ya leo ya tarehe 25 (Siku ya kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu Kristo). Sio yakwamba sisi tuu wenye kufuata saana Sheria na Amri za Mungu(watenda mema) ila tuu ni kwa neema zake tumeweza...
  6. saudari

    JamiiForums Tanzania Picha ya leo

    ..............
  7. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

    Mmhh!!!! Dada zetu mtautambua uongozi leo.
  8. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We jamaa, nakupenda ujue

    Unaona umeamua kuvunja ukimya na kuzungumza na mwenzio!!!!!!!
  9. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwa kutafuta mbadala mmezidi

    Wewe si ndo ulikua wakwanza kumkumbuka na kumpigia ila ukakutana na usiyoyatarajia. Au mimi ndo nimekosea kusoma hapo chini kwenye Bold?
  10. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwa kutafuta mbadala mmezidi

    Mbona unatangatanga na kubadili maelezo yako mwenyewe? Hebu soma hapo chini nilipo-bold kwa rangi NYEKUNDU na BLUE halafu u-relate na maelezo yako hapo juu. Kaa chini na uanze kutunga story nyingine kwa maana hii umekosea kuitunga.
  11. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwa kutafuta mbadala mmezidi

    Yaani kutongozwa na mume wa mtu halafu ukakataa ndo kukufanye uhame mji moja kwa zote? Unaonyesha ulikuwa umemkumbuka na kummiss sana ila ulishtushwa na uamua ambao aliutumia wa kumpa mkewe simu aongee na wewe. Huenda ulidhani ndo wakati wa kumaliza shida zako na mengine ya moyoni ila pole...
  12. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unachukuliaje kauli hii

    Kwahiyo ukweli asiambiwe? Au ndo yaleeeee wasemayo wahenga yakwamba "ukweli unauma".
  13. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nn

    We mpe muda tu kila kitu kitakua sawa.
  14. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kusafisha nyota

    Nani kakuambia kuna kitu kinaweza kushindikana ndani ya "Damu Ya Yesu"?. Damu ya Yesu inavunja na kuharibu hila zote za shetani zilizopangwa juu yako, ikiwa ni pamoja na kufuta na kuondoa mapatano yote yaliyofanya kati yako na mizimu ili kukufanya usiweze kuendelea kimaisha. Hivyo basi...
  15. saudari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuvuka Bodaa

    Nawe pia uwe na Usiku Mwema Mkuu wangu.
Back
Top Bottom