Special To All JF Member's

saudari

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
2,656
2,000
Habari zenu wana MMU na Jf kwa ujumla!!!!!!

Ni wakati mwingine tumepewa na Mwenyezi Mungu wa kuweza kuiona siku hii ya leo ya tarehe 25 (Siku ya kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu Kristo). Sio yakwamba sisi tuu wenye kufuata saana Sheria na Amri za Mungu(watenda mema) ila tuu ni kwa neema zake tumeweza kufika hapa tulipofika.

Inatupasa kumshukuru Mungu kwa upendo aliotuonyeshea na pia tuendelee kumuomba sana ili tuweze kuumaliza mwaka 2013 tukiwa salama salmin na kuweza kuuanza mwaka mpya(2014) tukiwa wenye nguvu na afya tele.

Nipende kuwaomba radhi wale woote niliowakosea kwa namna moja au nyingine either kwa comment zangu humu jamvini or kwa thread zangu nilizozianzisha humu jamvin kwani sisi sote ni binadamu hivyo kukosea ni sehemu mojawapo katika maisha yetu ya kila siku.

Pia napenda kuwatakia Jf Member's wote Sikukuu Njema na yenye furaha tele. Nawakaribishwa nyoote Nyumba Moshi kusheherekea pamoja na familia yangu Sikukuu hii ya leo.

merry-christmas-sms.jpg

CC: Watu8, Erickb52, Baba V, Filipo, Jacobus, Mamndenyi, LiverpoolFC, ladyfurahia, 24hrs, kamtu33, charminglady, Blue G, Chocs, Passion Lady,BAK, Elli, Fixed Point,Maundumula, Baba V, Kongosho,sakapal, Mc Tilly Chizenga, Karucee, Blue G,neggirl, Safari_ni_Safari,Amavubi, utantambua, Red Scorpion, kashesho,Sikonge,Asprin, 24hrs, kamtu33, Chocs, Mr Rocky.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom