iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,918
- 2,153
Ushauri anaopewa siyo wa kuachana naye ameuliza anatatizo gani kila mdau katoa kutokana na uelewa wake
akubali aishi naye na kwenye kujifungua operation inamhusu na mambo mengine akae naye makini amuulize kwa kukaa naye chini kabisa ili aweze kupata usaidizi mkubwa
watumia tigo wengi labda atumie kwa kipindi kifupi akizoea inakuwa misuli imelegea sana hata upumuaji unakuwa hauna mpangilio sahihi na mtoto siku anazaa hawezi kusukuma kwa sababu upepo unatoka sehemu nyingi

ni dhambi ngono kabla ya ndoa ndo maana hata ushaur mwing hapa niwakukufanya uachane naye yote hayo mnamfuraisha shetan,acha uasherat cku mkifunga ndoa atakua sawa nawe utashangaa!