Holystreams wedding and events planning

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Tuone kwa mahitaji ya maandalizi na usimamizi wa shughuli za harusi, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo na maulid. Pia kwa huduma za uandaaji wa mikutano matamasha fundraising events kwa mashirika na taasisi za kiserikali na zile za binafsi na makampuni pia. Follow page yetu @holystreams_weddings_events au tupigie simu namba 0688538972🎄🎁🎖

Wana jf karibuni mumuungishe mwl. Huduma zetu ni bora na ni nzuri sana. Acha kukimbizana kutafuta
Huduma.
 
Tunapatikana dsm. Gharama zetu ni maelewano kulingana na aina ya hafla, idadi ya wahudhuriaji, ukumbi na mengine mengi. Karibu sana sana nikuhudumie
Asante ila mbeleni kwenye kuboresha huduma mnapaswa kutafuta na mabinti walio single ili wanaume tusio na muda wa kutafuta wachumba tuwakute kabisa ukumbini tufunge ndoa na kula wali,vyoda na vyuku!
 
Asante ila mbeleni kwenye kuboresha huduma mnapaswa kutafuta na mabinti walio single ili wanaume tusio na muda wa kutafuta wachumba tuwakute kabisa ukumbini tufunge ndoa na kula wali,vyoda na vyuku!
Hiyo huduma utaipata kwenye date sites. Sasa ukumbini itakuwa ni kuwakosea adabu singles
 
Hahahahaaa af mahari anapokea nani?
Director wa kampuni yenu ambayo atakuwa ameambatanisha kwenye mkataba ambao pamoja na mambo mengine atalisha ukumbi,atasherehesha,kuburudisha,na kwakua wakwe hawatakuwepo ukumbini mkataba utamke wazi kwamba utambulisho wa ni nani alimuoa binti yao, lini,wapi watapewa kupitia wito maalum!
 
Tuone kwa mahitaji ya maandalizi na usimamizi wa shughuli za harusi, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo na maulid. Pia kwa huduma za uandaaji wa mikutano matamasha fundraising events kwa mashirika na taasisi za kiserikali na zile za binafsi na makampuni pia. Follow page yetu @holystreams_weddings_events au tupigie simu namba 0688538972🎄🎁🎖

Wana jf karibuni mumuungishe mwl. Huduma zetu ni bora na ni nzuri sana. Acha kukimbizana kutafuta
Huduma.
Usisahau kunipa Promota 10%.
 
Tuone kwa mahitaji ya maandalizi na usimamizi wa shughuli za harusi, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo na maulid. Pia kwa huduma za uandaaji wa mikutano matamasha fundraising events kwa mashirika na taasisi za kiserikali na zile za binafsi na makampuni pia. Follow page yetu @holystreams_weddings_events au tupigie simu namba 0688538972

Wana jf karibuni mumuungishe mwl. Huduma zetu ni bora na ni nzuri sana. Acha kukimbizana kutafuta
Huduma.

Kumbe wewe Mwalimu?

I didnt know!

Na hivi umesha ji-expose huoni ile misimamo yako ya kisiasa Jiwe anakunyaka kirahisi sana?
 
Back
Top Bottom