Labda kwa kuongezea ni kwamba mara nyingi inatumika kupambanua na kuchanganua data kama za hesabu ya mauzo, kodi ya mauzo na mapato. Na pia inatumika kwenye data za kimahesabu zaidi na takwimu zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inasikitisha sana ila bado kuna maswali yananisumbua kichwa mpaka sasa kwa mfano hivi huyu mpigaji risasi ni kwamba alikuwa anafyatua risasi hovyo maana naona nyingine amezipiga mpaka kwenye usawa wa mlango kwa chini ya kiti cha abiria au alikuwa anataka kumlenga unyayo? Risasi nyingi sana...
Kwa mahitaji yako ya keys software na unlocking codes za kufungua simu tuwasiliane hapa. Tunauza keys za software zote ambazo ni genuine za operating system, microsoft office package na software nyinginezo nyingi tuu.
Pia tunauza unlocking code za kufungua simu za aina zote kama Samsung, Apple...
Acha upimbi wewe. Wadhungu uwa wana kamsemo kao wanasema, "don't shit on ur door step".. hata kama unataka kugegedwa nenda mbali hapo utamshushia mumeo heshima na wewe pia.. Nani anagegedana na co-worker wake kama kaoa au kaolewa labda itokee tuu kwa aliyekuwa singo..
Maisha bwana, wakati wa mbele analia ya kwake isibomolewe kumbe wa nyuma anafurahia ili ya kwake iwe mbele.. kumbe kweli maisha ni kama kucheza gwaride kwenye mstari...
Ndugu unagebuka na ngwila hapo lazima ukaongezee umasai hapo au utaumbuka mkuu. Hakikisha bao dakika 60 au zaidi lazima aungue kesho yake apumzike.. pole sana lakini..
Sio kweli mkuu. Asali inasaidia kuongeza nguvu na stamina ya kubutua. Na inatambulika kwamba ina madini ya boron ambayo yanasaidia kuongeza uzalishaji wa testosterone wakati pia inachagia kurutubishwa kwa oestrogen. Ndio maana fungate kwa kidhungu likaitwa hanimuni kwasababu watu walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.