Kampuni ya ACACIA yaipa serikali notisi ya kwenda mahakamani

Wanyonge watadumu kuwa wanyonge tu mikataba ya Karl peter bado inasainiwa hata Leo sijui suluhu ya hawa mabeberu wawili wanaovuta kamba kila MTU upande wake,confirmation gani hiyo italeta suluhu ili mnyonge apate haki take?

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
YUL

YULE KIDUME skuile alipoalikwa whitehouse nilikuwa namuangalia jinisi anavomtaza jamaa huku moyoni alikuwa anasema ''huyu angejua kuwa amejimaliza mwenyewe asingekurupuka''
Kama ni akili bac ww una akili za kuku
 
lissu alisema. wapiga vigelegele wakambeza. pia waziri wa sheria naye alikurupuka na kusema kwamba ACCACIA hawatakwenda mahakamani.

Mnajua nyie bavicha hamueleweki,.....

- kabudi aliposema mikataba ya zamani haitaguswa mnapiga kelele kwanini isiguswe ..hapo hapo lisu anaita waandishi wa habari tumeingia mikataba na hawa watu na ni hatari kuivunja tutanyolewa bila chupa ....

Hamuelweki mnahitaji nini hasa ?! ivunjwe tunyolewe bila chupa au tuwaachie waendelee kuchukua kama kawaida?
 
Yaani ACCACIA wanapiga 2 in one.... Wamefile for Arbitration kabla ya mswada wa sheria kupitishwa ili Mswada huo ukiwa sheria usiweze kuwagusa and in the mean while wanaendelea na mazungumzo na serikali.
Kivyovyote vile ACCACIA anatakiwa kuwa mpole cause anaweza akapona kwa aliyoyafanya kabla ya sheria ya madini, lakini Je ataweza kuendelea kufanya kazi?
Mi nachoshauri say akishinda hiyo Arbitration kitu ambayo mara nyingi wanshindaga na sisi Hii sheria ya madini ifanyiwe mabadiliko ikaze zaidi, Ubaya Ubaya ni bora aondoke since hana faida kwetu
 
dhahabu inaendelea kupanda ndege kila uchwao pamoja na kelele zote zile wakati Ngosha kashikilia makinikia bandarini..., yaani Makinikia ndio tumekamata, lakini wale tuliowaita 'wezi' bado wanasafirisha dhahabu..,
[/SIZE]
Ulitaka iweje? Sidhani kama serikali ishawahi kuzuia dhahabu kutoka. Ilichozuia ni makinikia kwakuwa humo kuna madini yanatoroshwa kwa kutoorodheshwa. Kwasasa tusubiri marekebisho ya sheria yatakapoanza kutumika ndipo tutapata mamlaka ya kuzuia hata hiyo dhahabu
 
One of my friend (Ghanian) once told me, he said "When the going gets difficult your President will be left to stand alone. We sometimes don't support our leaders when the going gets difficult"

I'm beginning to see that now, kinachosikitisha zaidi ni kwamba tumeanza mapema sana kutawanyika hata kabla dhoruba haijaanza. Guys did you really think that Acacia would go down without a fight? Neither will URT. To me it doesn't matter who wins in this fight, what matters is that we are doing something positive, we made some mistakes before and now we are taking accountability for them, we were knocked down and now we are struggling to get back up, we got our selves into this mess and now we are fighting to get ourselves out. Either way the world must get this message that Africa now is changing radically, and not just Tz

Let's just fight with everything we've got. Vita ya kiuchumi haiwezi kumalizwa na mtu mmoja ingekua hivyo kila mtu angethubutu, kinachosababisha kila mtu anaogopa ni kwamba hii si vita rahisi na haiwezi kumalizwa na kizazi kimoja, tuanze ili kizazi kitakachokuja kitaendelea tutakapokua tumeishia. Ikumbukwe kwamba kuna makosa mengi tumefanya awali kwahiyo itatulazimu kwanza turekebishe makosa kabla hatujaanza phase mpya and this is very much costing.

Kwa gharama yoyote ile bado movement hii ni muhimu kama tunatafuta uhuru wa kweli wa kiuchumi.

This is just my opinion. Can't force someone to agree or disagree
 
Tuko na Mr President hadi kiama. Mkataba haukusema wasafirishe mchanga wenye dhahabu wao wanasafirisha na kuuza nje kinyume na makubaliana. Na mchanga mwingine wa dhahabu toka Hanang walikuwa wananunua na kuujaza kwenye kontena zao. M,mme hatishiwi nyau. Endeleeni na udalali wa kuwala pesa wazungu
 
Back
Top Bottom