Mi mwenyewe natumia star x, hiyo habari ya kwamba ukikaa pembeni unaona ukungu, kwangu haipo picha iko vile vile hata nikae wapi. Picha inaonekana vizuri sana hata nywele za kichwa cha MTU unaeza kuzihesabu. Natumia star x massa dubai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.