Tupeni nondo hizo, maana ck Hz bando bei ya kiwanjaMimi natoa bure hii huduma, smartphone yako tu
Tupeni nondo hizo, maana ck Hz bando bei ya kiwanjaMimi natoa bure hii huduma, smartphone yako tu
Swala la vifurushi hata ukisoma post yangu hadi mwisho utaona nimelizungumzia. Hapa nilipo Mkuu nina line za Tigo, Halotel, Vodacom, na TTCL na kusema ukweli sioni utofauti mkubwa wa bei kati ya hii mitandao (kwa sisi tusio na line za chuo). Vodacom na Tigo vifurushi vyao utadhani wamepanga pamoja.. Ttcl ndio kidogo afadhali kwenye hii mitandao ya 4g. 800mb kwa 1000 tshs.
Basi wewe si mtumiaji wa simu , kwa watu kama sisi tunaotumia mpka gb 7 kwa siku tunajua mitandao rafiki. Kibongo bongo halotel ndo wameshika kwenye maswala ya internet na vifurushi ukitaka enjoy bando za halotel chukua pesa yako weka halopesa maana wako wanaipromote , elfu 10 unapata gb 15 kwa mwezi, elfu 1 unapata gb 1 kwa wiki , na mia 5 unapata mb 500. , ukiwa voda 1000 unapata mb azizidi mia tano tena kwa siku, halotel wanavifurushi mpka vya usiku sh 500 bure internet mpaka saa 12 asubui kwa watu wa movies apa ndo kwetu, wana vifurushi vya halomorning sh 500 gb 1 saa 12 asubui mpk saa 3. Ukiwa na voda ili upate gb 15 mzee inabidi uwe na pesa kuanzia elfu 30 mpaka 50. Ila ukija mitandao kama TTCL wanajitahidi wana vifurushi vizuri ila internet inasua sua na haipo baadhi ya maeneo kwao wao buku 5 unapata gb za mwezi za kutosha
Mimi now halotel wamenikamata aisee natumia elf10 mwez mzima internet bila kikomo, dakika 120 mitandao yote na 300 za halotel na sms 500 nitake nn tena jmn. Natumia internet nitakavo ni mimi na YouTube sjui insta mpaka simu inapata moto aisee hongereni sana mtandao wangu pendwa wa halotel View attachment 1174081
Wingi wa GB pekee haukidhi mahitaji yote sometime unahitaji ping nzuri ama speed nzuri.Basi wewe si mtumiaji wa simu , kwa watu kama sisi tunaotumia mpka gb 7 kwa siku tunajua mitandao rafiki. Kibongo bongo halotel ndo wameshika kwenye maswala ya internet na vifurushi ukitaka enjoy bando za halotel chukua pesa yako weka halopesa maana wako wanaipromote , elfu 10 unapata gb 15 kwa mwezi, elfu 1 unapata gb 1 kwa wiki , na mia 5 unapata mb 500. , ukiwa voda 1000 unapata mb azizidi mia tano tena kwa siku, halotel wanavifurushi mpka vya usiku sh 500 bure internet mpaka saa 12 asubui kwa watu wa movies apa ndo kwetu, wana vifurushi vya halomorning sh 500 gb 1 saa 12 asubui mpk saa 3. Ukiwa na voda ili upate gb 15 mzee inabidi uwe na pesa kuanzia elfu 30 mpaka 50. Ila ukija mitandao kama TTCL wanajitahidi wana vifurushi vizuri ila internet inasua sua na haipo baadhi ya maeneo kwao wao buku 5 unapata gb za mwezi za kutosha
Mimi nipo hapa kijijini Mwanza na bado inasukuma vizuri tu mbonaVoda ni mjini tu, ukitoka nje ya mji ni ovyo kabisa,
Tatizo hizo GB15 kila siku wakupa MB 500 tu kutoka kwenye hizo GB 15Bado unajipunja kupata mb elfu 3, chukua pesa yako elfu 10 weka halopesa then piga *150*88#
Chagua namba 3 vocha na mega then utapata kuchagua bando la elfu 10 gb 15 kwa mwezi dakika ndo usisema na msg utaziacha
haiwezi mkuu mwisho hd 360 alaf inagandaganda mm nilitupaga line ya hallotelWingi wa GB pekee haukidhi mahitaji yote sometime unahitaji ping nzuri ama speed nzuri.
Unaweza tumia hio halotel kustream kitu chochote Cha 4K? Unaweza kutumia kucheza competitive game lolote online?