Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Siku zenyewe ndio hizi boss... mie hili ndio bundle langu la mwisho kutumia, baada ya hapa simu itakaa tu ndani, mwenye shida anioigie ... nimejikuta kwa wiki natumia zaidi ya 20,000... kuja kushtuka nikajionea huruma kabisaa
Kama huna kazi inayo itaji internet au kazi ya kupiga simu kwa wingi.. unaweka simu yako ndani ..unakuwa zako weekend unaweka bundle then unasoma yote ya mtandaoni na kupigia ndugu zako wa karibu
