NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Haiwezekani kunishawishi kamwe ikafikia kuamini kwamba nibora raisi wa Tanzania angekua LOWASA haiwezekani eti sababu yakumkataa JOHN POMBE eti hali ngum halafu ukimfatilia mtu ambae anamkataa Rais na utendaji wake maneno aliyokua anayasema miaka mitatu minne iliyopita aaaa unachoka kabisa. Nitaendelea kuunga mkono utendaji wa Rais hata kama mimi sio ccm kwani ndio mtu aliekua anahitajika