The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Wakuu Samahani kuna TV za LG feki katika soko la TV hapa Tanzania??
Wakuu Samahani kuna TV za LG feki katika soko la TV hapa Tanzania??
PoaMe naona ipo sawa tu kiongozi
Utazitambuaje, nilishawai kununua LG home theiter baada ya miaka kama 4 ilikufa card nikaipeleka kwa agent wa LG walishindwa nikaenda kwa mafundi wa kkoo ndio wakaniambia kuwa ni mchina na hakuna uwezo wa kupona bila ya kubadilisha card/mother board yake. Ipo tuu ndani kama pambo now. Au mwenye uwezo wa kunisaidia kupata radio bila ya speaker tunaweza kiongea beiZipo mkuu
Zipo nyingi tu. Mi mwenyewe ni mhanga nilinunu 43 inch LED kwa Tsh 600,000/-. Nadhani price ili nidanganya Ila tangu nimeitumia mwak wa pili huu haijawahi kuniletea shida na natumia HD Receiver so picture quality si haba ni kama TV nyingine za kichina, ila ikija tu kuloga najua msala utaanzia hapo.Wakuu Samahani kuna TV za LG feki katika soko la TV hapa Tanzania??
Sante sana mkuu, maana kuna jamaa hapa anataka aniuzie used nchi 32 kwa 350kZipo nyingi tu. Mi mwenyewe ni mhanga nilinunu 43 inch LED kwa Tsh 600,000/-. Nadhani price ili nidanganya Ila tangu nimeitumia mwak wa pili huu haijawahi kuniletea shida na natumia HD Receiver so picture quality si haba ni kama TV nyingine za kichina, ila ikija tu kuloga najua msala utaanzia hapo.
1.Kwanza Logo Ya LG [emoji769] pale mbele imefanywa kubandikwa pale mbele na nyuma ya TVbadala ya kuwa printed kwenye ile plastic.
2. Nyingi zimeandikwa made ina PRC kwa kifupi ila maan yake ni (Made in People Republic of China)
3. Product serial number kule nyuma imefanywa kubandikwa tu na kastika ka karatasi ya kawaida
4. Remote yake nyingi ni makubwa na hayana Logo ya LG [emoji769]
5. Nyingi boksi lake lina marangi rangi na mapicha, lakini zike genuine box lake linakuwa simple (rangi ya kaki, product name na model)
6. User manual inakuwa simple na haina nembo ya LG sehemu yoyote
View attachment 1239219View attachment 1239220View attachment 1239221View attachment 1239222
Natamani wanaozijua vizuri watuelekeze zaidi ili tupunguze kununua vifaa feki bila kujuaUtazitambuaje, nilishawai kununua LG home theiter baada ya miaka kama 4 ilikufa card nikaipeleka kwa agent wa LG walishindwa nikaenda kwa mafundi wa kkoo ndio wakaniambia kuwa ni mchina na hakuna uwezo wa kupona bila ya kubadilisha card/mother board yake. Ipo tuu ndani kama pambo now. Au mwenye uwezo wa kunisaidia kupata radio bila ya speaker tunaweza kiongea bei
Natamani wanaozijua vizuri watuelekeze zaidi ili tupunguze kununua vifaa feki bila kujua
Sante na vipi bei zake hizo original mfano nchi 32Mara nyingi LG orginal power cord yake ipo kama ya laptop ina transforma. Lakini fake waya unakuwa tu kama wa redio za zamani, and very cheap.
Plastic material yale tu yani lile jumba kama ni.mtata uliliangalia utajua huu mdosho
Vipi Mimi hapa nimepigwa au ni yenyewe maana nimenunua dukani kabisa ni mpya
View attachment 1239507
Nimenunua leo boss bado sijaifunga, vipi ubora wake upoje mkuu ebu nidadavulie kidogo maana nimekutana na sms kwenye huu uzi unazungumzia ubovu wa LG nimepata mashaka na utumbo kuanza kuumaYenyw hiyo mkuu
Nimenunua leo boss bado sijaifunga, vipi ubora wake upoje mkuu ebu nidadavulie kidogo maana nimekutana na sms kwenye huu uzi unazungumzia ubovu wa LG nimepata mashaka na utumbo kuanza kuuma
Umeivuta bei gan mkuuVipi Mimi hapa nimepigwa au ni yenyewe maana nimenunua dukani kabisa ni mpya
View attachment 1239507
Abdalah rashid na chief mkwawa hebu anzeni tufafanulia jinsi ya kutambua tv origino na fake tunaangalia nnHahahaha, usiogope mkuu, tumia tv yako bila pressure, ziko vizur tu, kesi ktk vitu vya electronics ni jambo la kawaida tu, mara nyengn unabahatika mara nyengn unapata bahati mbaya, so relax na life is good
Mi mwenyewe natumia star x, hiyo habari ya kwamba ukikaa pembeni unaona ukungu, kwangu haipo picha iko vile vile hata nikae wapi. Picha inaonekana vizuri sana hata nywele za kichwa cha MTU unaeza kuzihesabu. Natumia star x massa dubaiTuanzie hapa,hao starx makao makuu yao ni wapi? Website yao ni ipi?
Mi mwenyewe natumia star x, hiyo habari ya kwamba ukikaa pembeni unaona ukungu, kwangu haipo picha iko vile vile hata nikae wapi. Picha inaonekana vizuri sana hata nywele za kichwa cha MTU unaeza kuzihesabu. Natumia star x massa dubai
32LN5150Ni modell ipi mkuu hiyo itaje iwe recommendation kwa wengine lakini pia tuichambue sifa zake
Mkuu Tv google nzima haina specs,sasa inakua ngumu hata kusema kama inapicha kali au vp,hiyo view angle yenyew hatujui ikoje32LN5150