Recent content by Sashay

  1. S

    Anguko la Diamond Platinumz kimziki

    be positive or be quiet.
  2. S

    Vicky Kamata afunguka kuhusu ndoa yake

    sitaki kuamini kama ni maneno ya mbunge haya, kulikuwa na umuhimu gani kwenda tena kwenye media? ungepiga kimya tu mambo yenyewe ni binafsi, unazidi kutupa sababu ya kuacha kuwaza ya maana tunakaa tunafuatilia hii movie au unatafuta umaarufu zaidi??
  3. S

    Natafuta chumba(master) na sebule ya kupanga, bei isizidi 150,000/= maeneo ya Sinza au Mwenge

    Wadau, naombeni mnisaidie natafuta chumba(master) na sebule ya kupanga, bei isizidi 150,000/=. Maeneo ya Sinza au Mwenge na kuwe na maji. Kama unamiliki au unamjua mtu anayemiliki au mpangaji anayetegemea kuhama hivi karibuni naomba unijulishe. Asanteni.
  4. S

    Naombeni msaada

    wapendwa naombeni mnisaidie hapa, nina ndugu yangu anategemea kugraduate jumamosi St Joseph University huko Mbezi Luis. Sasa tunataka baada ya graduation tukae sehemu tule, naombeni mtu anayejua kiwanja kizuri ambako tunaweza kupata chakula maeneo Kimara au Mbezi.
  5. S

    Vifaa vya umeme vya uhakika vinapatikana wapi hapa Dar

    Msaada jamani,wapi kunapatikana vifaa vya umeme vya uhakika, kama fridge,tv etc
  6. S

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    Mimi sio doctor, ila naona haina ukweli kuwa hataweza kubeba mimba,labda kama atatolewa kizazi. Ila kama ni operation ya kutoa uvimbe tu atapata mtoto baada ya operation. Kwa mfano uvimbe-ambao ni fibroids huwa zinatokea kwenye kizazi ni lazima afanyiwe operation ndio ata abebe mimba, kwa sababu...
  7. S

    Naombeni msaada

    Nashukuru sana Malali, nitafika hapo Ardhi nijaribu bahati yangu.
  8. S

    Naombeni msaada

    Wapendwa ni wapi naweza kupata viwanja vilivyopimwa hapa Dar es Salaam. Asanteni
  9. S

    How to do Kwaito Dance moves-Jive

    Msaada, natafuta mtu wa kunifundisha "Kwaito dancing", napenda sana hii haina ya dancing ila nimekuwa nabahatisha sasa nataka nijue jinsi ya kucheza vizuri. Nitafurahi kama utanijulisha na bei kabisa.
  10. S

    Peter Msechu aibuka mshindi wa pili Tusker Project Fame

    Mimi naona Leah anaweza zaidi ya Lady Gaga na yule msichana mwingine aliyeokolewa na faculty sababu tu ana adabu na nia ya kujifunza na kubadilika. Leah ametolewa kwa kukosa kura, kama watanzania tungempigia angeweza kupita, mashindano mengi yanayotegemea kupigiwa kura watz hatutashinda kwa...
  11. S

    GE2010 Kuepuka aibu..Masha!

    ha ha ha sasa JK aanzishe special seat kwa wanaume ampe Masha
  12. S

    My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

    mmh hapa kuna tatizo kubwa..ila pamoja na hayo yote simshauri kukimbia ndoa yake. Kama ndoa ni ya kanisani/msikitini amshirikishe mchungaji/shekhe ataongea na mumewe ili sababu zijulikane. Mawazo yangu naona huenda huyo mumewe kuna vitu vinamkera hapo nyumbani lakini anashindwa kujiexpress...
  13. S

    Hivi ni Mwanamke tu......

    Asante sana MwanajamiiOne, Mungu akubariki..ngoja nijaribu tena kumuelewesha, jamani ila hawa viumbe very delicateeee
  14. S

    Mshaurini dada yetu jamani

    Mimi simshauri kabisa kuuza nyumba yake, mwambie asithubutuuuuuu, kama huyo mchumbae yupo radhi waendelee kukaa palepale au wakapange nyumba kubwa mpk watakapojenga yao.
Back
Top Bottom